Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,842
- 16,292
Nakumbuka baada ya kubaleghe na kuanza kuchakata mbususu hua kila nikipiga bao napata kausingizi flani kazito sana, yaani utamu wa kale kausingizi hua ni zaidi ya ule utamu wa usingizi wa kawaida, hua ni lazima nitumie dakika 10 mpaka 30 na baada ya kuamka hapo nakua kama vile nime restart upya mfumo mzima wa uzazi.
Yapata miaka minne hivi sasa sikapati tena kale kausingizi baada ya tendo, je hii ni hali ya kawaida kulingana na umri unavyo ongezeka au kuna tatizo la kiafya linalopelekea hii hali?
NB: Sina stress yoyote, sina matatizo ya presha wala sukari.
Nimetokea tu kukamis kale kausingizi.