first Man in the moon........spying what.is origin of Moon......?Habari za jioni wana jf,
Nimekuja bar moja hapa Morogoro, nimeagiza kinywaji na kuanza kutumia, baada ya kama dk tano nikageuka nyuma na kukutana na watoto wakali sana kama kumi na tano wamevalia tisheti zilizoandikwa jina la hiyo bar. Kiukweli ni wazuri sana na hata sijui wametokea mkoa gani.
Nilishangaa sana ikabidi nimwite mmoja lakini cha kushangaa zaidi walikuja zaidi ya wanne na kiukweli wana kila sifa, bila iyana ikabidi niwaagizie kinywaji kila mmoja na tukaanza kupiga story.
Nikawauliza mbona mlikaa kwa kujikunyata vile? Wakanijibu kuwa siku hizi wateja hamna, na hata wakija wanakula na kunywa peke yao siyo kama zamani.
Wakasema zamani walikuwa wanakula na kunywa watakavyo na wanaume walikuwa na Upendo sana ila kwa sasa hawajui ni nini kimewapata wanaume!
Wakaniambia siku hizi hata zile kauli za keep chenji hamna kabisa.
Sasa najiuliza, siku hizi atuwataki hawa wanawake? Au kuna kingine wakuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana ndugu, yaani mabinti ni wazuri sana ila hakuna mwenye muda nao? Ndo tumekuwa wabinafsi au? Na hii tabia ya ubinafsi imeanza lini hatukuwa nayo kabisa?first Man in the moon........spying what.is origin of Moon......?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkulu mkuu au hujuiHapana ndugu, yaani mabinti ni wazuri sana ila hakuna mwenye muda nao? Ndo tumekuwa wabinafsi au? Na hii tabia ya ubinafsi imeanza lini hatukuwa nayo kabisa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hali ni mbayaHabari za jioni wana jf,
Nimekuja bar moja hapa Morogoro, nimeagiza kinywaji na kuanza kutumia, baada ya kama dk tano nikageuka nyuma na kukutana na watoto wakali sana kama kumi na tano wamevalia tisheti zilizoandikwa jina la hiyo bar. Kiukweli ni wazuri sana na hata sijui wametokea mkoa gani.
Nilishangaa sana ikabidi nimwite mmoja lakini cha kushangaa zaidi walikuja zaidi ya wanne na kiukweli wana kila sifa, bila iyana ikabidi niwaagizie kinywaji kila mmoja na tukaanza kupiga story.
Nikawauliza mbona mlikaa kwa kujikunyata vile? Wakanijibu kuwa siku hizi wateja hamna, na hata wakija wanakula na kunywa peke yao siyo kama zamani.
Wakasema zamani walikuwa wanakula na kunywa watakavyo na wanaume walikuwa na Upendo sana ila kwa sasa hawajui ni nini kimewapata wanaume!
Wakaniambia siku hizi hata zile kauli za keep chenji hamna kabisa.
Sasa najiuliza, siku hizi atuwataki hawa wanawake? Au kuna kingine wakuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hivi wajanja wanajua pakuhemea saivi TZ ukihongwa 10000 iangalie mara kumi na mbili hamna hela hali tete.
Hajaongelea bar maid mzee naona hujaelewa madaKimsingi ukiona mpaka ameenda kuwa bar maid jua hana option kapitia mengi na kaamua liwalo na liwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha haaaa kama.nimekusoma flani.ila point ya kuwa wamevaa sare za bar ndio nikahisi hivyo.Hajaongelea bar maid mzee naona hujaelewa mada