Siku hizi hata mke ukweni ni interview?

Siku hizi hata mke ukweni ni interview?

Salaam sana waungwana..

Last weekend nilipelekwa na mwenzangu ukweni kutambulishwa kua Mimi ndio Yule niliyesubiriwa kuvika pete chanda chema.

At first tuliongea Mimi na mwenzi wangu juu ya khali itakavyokua na nin lakin akaniambia kuna mengine hawezi sema sababu ni maswali yanayotokea papo Kwa hapo.

Ofcorse haikunipa tabu sana kabla ya kufika sababu nilijua nia yangu plus binti kanielewa nikawa sioni tatizo wala hofu.

nlipofika nilipokelewa vizuri,maongezi ya hapa na pale na mama mzaa chema huku nikisubiri mzee mwenye nyumba yani baba mkwe kwa mazungumzo zaidi as in kutambulishwa rasmi na nini.

Wakati nabuy sometimes kwa kusoma Jf huku nikipotezana mawazo na wadogo wa mwenzi wangu na mama mzazi kwa bahati nzuri yule mzee akafika.

Nilisimama tukasalimiana wazee wasomi ambao bado wanaitumikia serikali miaka ya lala salama wakingoja kipenga cha mwisho.

Kiukweli sikuwaza kama ningekutana na interview ngumu vile maana ilikua as if naomba nafas ya kazi au naomba mkopo Bank ya CRDB.

Ilikua kijana unaelimu? nikajibu, tena Ilikua anaandika sababu niliona amekuja na notepad, sijakaa sawa naulizwa occupation status ya wazazi wangu, namaliza kujibu hili napewa nyundo nyingine vipi how do you see your self after five years.
Kimoyo moyo nikawa naona nachefukwa. Ila ndio ukweni nikajikaza kiume tu.

Ilikua anaandakika kama mwanafunzi na lecturer kiukweli binafsi sikupenda, sema mke namtaka ikabidi niwe mpole najibu, sasa mwishoni mzee akauliza unafanya kazi gani, nilipo jibu akawa anahoji juu mambo yanayoendelea katika wizara yetu mwisho akatoa simu akapiga ofisi niliyopo na kuwasiliana na baazi ya seniors personnel,

sikujua Kama kapiga uko at first nakuja kugundua mwishoni niliposikia akisema aaah nna kijana wangu yupo hapo akataja jina langu uku akiniangalia na kutaja ofis niliyopo baada ya mazungumzo akakata simu nikaona amejawa na furaha kma mtu aliyefurahishwa na kitu.

Akanigeukia na kunikaribisha rasmi nikabaki nikiitika huku nikivunga kana kwamba niko saw a..ila nilishangaa sana..

Wakuu tujipange tusikurupuke `hii maisha mazuri mindset wanatoka nazo kwa babu na bibi zao hivi hivi utakula KO UKWENI

sitaki kuamini ulichoanindika ndicho ulichoulizwa tena kwa mzazi msomi sio kweli...kwanza wazazi wengi hufurah mabinti zao wakiwaleta wachumba wao nyumbani tena utakaribishwa kwa furaha zote labda ulivyofika appearance yako iliwapa wasiwasi ikabidi wakufanyie orientation kwanza ..maana kuna wengine wakipelekwa wazazi wanawambia huyu ukiolewa nae atakutesa sana achana nae au huyu hakufai mwanangu....utakuwa kuna ksaoro waliigundua kutoka kwako
 
Nilichojifunza ni kua kila mtu anamaoni juu ya swala flani au jambo flani yake so hata huyu mkwe wangu sikua na chakumpangia isipokua kuoga maji niliyovulia nguo
 
Ukweni angeenda mshenga au wazee ndo taratibu zetu. Mazungumzo yanakuwepo wazee kwa wazee na mshenga
 
Salaam sana waungwana..

Last weekend nilipelekwa na mwenzangu ukweni kutambulishwa kua Mimi ndio Yule niliyesubiriwa kuvika pete chanda chema.

At first tuliongea Mimi na mwenzi wangu juu ya khali itakavyokua na nin lakin akaniambia kuna mengine hawezi sema sababu ni maswali yanayotokea papo Kwa hapo.

Ofcorse haikunipa tabu sana kabla ya kufika sababu nilijua nia yangu plus binti kanielewa nikawa sioni tatizo wala hofu.

nlipofika nilipokelewa vizuri,maongezi ya hapa na pale na mama mzaa chema huku nikisubiri mzee mwenye nyumba yani baba mkwe kwa mazungumzo zaidi as in kutambulishwa rasmi na nini.

Wakati nabuy sometimes kwa kusoma Jf huku nikipotezana mawazo na wadogo wa mwenzi wangu na mama mzazi kwa bahati nzuri yule mzee akafika.

Nilisimama tukasalimiana wazee wasomi ambao bado wanaitumikia serikali miaka ya lala salama wakingoja kipenga cha mwisho.

Kiukweli sikuwaza kama ningekutana na interview ngumu vile maana ilikua as if naomba nafas ya kazi au naomba mkopo Bank ya CRDB.

Ilikua kijana unaelimu? nikajibu, tena Ilikua anaandika sababu niliona amekuja na notepad, sijakaa sawa naulizwa occupation status ya wazazi wangu, namaliza kujibu hili napewa nyundo nyingine vipi how do you see your self after five years.
Kimoyo moyo nikawa naona nachefukwa. Ila ndio ukweni nikajikaza kiume tu.

Ilikua anaandakika kama mwanafunzi na lecturer kiukweli binafsi sikupenda, sema mke namtaka ikabidi niwe mpole najibu, sasa mwishoni mzee akauliza unafanya kazi gani, nilipo jibu akawa anahoji juu mambo yanayoendelea katika wizara yetu mwisho akatoa simu akapiga ofisi niliyopo na kuwasiliana na baazi ya seniors personnel,

sikujua Kama kapiga uko at first nakuja kugundua mwishoni niliposikia akisema aaah nna kijana wangu yupo hapo akataja jina langu uku akiniangalia na kutaja ofis niliyopo baada ya mazungumzo akakata simu nikaona amejawa na furaha kma mtu aliyefurahishwa na kitu.

Akanigeukia na kunikaribisha rasmi nikabaki nikiitika huku nikivunga kana kwamba niko saw a..ila nilishangaa sana..

Wakuu tujipange tusikurupuke `hii maisha mazuri mindset wanatoka nazo kwa babu na bibi zao hivi hivi utakula KO UKWENI
Hiyo kweli ni kali kakweli.
 
Mbona huo ni utaratibu wa kawaida kabisa toka enzi na enzi; na hizo interviews zinapigwa hata vijijini. Na wakati wengine observation ufanyika. Kwa kifupi hayo sio maswali ya kwenye interview bali ni maswali ya kitafiti kuhakikisha kama upo vizuri.

Halafu pia utafiti huo ulenga kama kuna mwingiliano wa koo vile vile, na mambo mengine mengi.
 
Mbona uliulizwa maswali mepesi hivo kuna dadangu alitaka olewa mchumba alipigwa maswali akashindwa kujibu pamoja na kuulizwa ukoo na ndugu conditions alizopewa hakurudi tena, kumbe alikua tapeli la mjini. So maswali ka hayo yanasaidia kujua mambo mengi baba huwezi tu kumruhusu mwanao aende kizembe kwa MTU asiyejulikana asiye na mbele wala nyuma.
 
Salaam sana waungwana..

Last weekend nilipelekwa na mwenzangu ukweni kutambulishwa kua Mimi ndio Yule niliyesubiriwa kuvika pete chanda chema.

At first tuliongea Mimi na mwenzi wangu juu ya khali itakavyokua na nin lakin akaniambia kuna mengine hawezi sema sababu ni maswali yanayotokea papo Kwa hapo.

Ofcorse haikunipa tabu sana kabla ya kufika sababu nilijua nia yangu plus binti kanielewa nikawa sioni tatizo wala hofu.

nlipofika nilipokelewa vizuri,maongezi ya hapa na pale na mama mzaa chema huku nikisubiri mzee mwenye nyumba yani baba mkwe kwa mazungumzo zaidi as in kutambulishwa rasmi na nini.

Wakati nabuy sometimes kwa kusoma Jf huku nikipotezana mawazo na wadogo wa mwenzi wangu na mama mzazi kwa bahati nzuri yule mzee akafika.

Nilisimama tukasalimiana wazee wasomi ambao bado wanaitumikia serikali miaka ya lala salama wakingoja kipenga cha mwisho.

Kiukweli sikuwaza kama ningekutana na interview ngumu vile maana ilikua as if naomba nafas ya kazi au naomba mkopo Bank ya CRDB.

Ilikua kijana unaelimu? nikajibu, tena Ilikua anaandika sababu niliona amekuja na notepad, sijakaa sawa naulizwa occupation status ya wazazi wangu, namaliza kujibu hili napewa nyundo nyingine vipi how do you see your self after five years.
Kimoyo moyo nikawa naona nachefukwa. Ila ndio ukweni nikajikaza kiume tu.

Ilikua anaandakika kama mwanafunzi na lecturer kiukweli binafsi sikupenda, sema mke namtaka ikabidi niwe mpole najibu, sasa mwishoni mzee akauliza unafanya kazi gani, nilipo jibu akawa anahoji juu mambo yanayoendelea katika wizara yetu mwisho akatoa simu akapiga ofisi niliyopo na kuwasiliana na baazi ya seniors personnel,

sikujua Kama kapiga uko at first nakuja kugundua mwishoni niliposikia akisema aaah nna kijana wangu yupo hapo akataja jina langu uku akiniangalia na kutaja ofis niliyopo baada ya mazungumzo akakata simu nikaona amejawa na furaha kma mtu aliyefurahishwa na kitu.

Akanigeukia na kunikaribisha rasmi nikabaki nikiitika huku nikivunga kana kwamba niko saw a..ila nilishangaa sana..

Wakuu tujipange tusikurupuke `hii maisha mazuri mindset wanatoka nazo kwa babu na bibi zao hivi hivi utakula KO UKWENI
Duh, hatari sana!
 
Ulimjibuje swali hilo?? Maana kama ingekuwa kiprofessional ungemjibu kiprof.

Hapo ningemjibu, Najiona nimekuwa mme wa binti yako na Baba wa watoto wa wiwili.., lakini kama ukiridhia..

Ingawa hapo ningeweza hata kukosa mke
 
Mbona kawaida tu hiyo?

Mimi mzee wangu alipokuwa akiozesha dada zangu ilikuwa hatufanyi interview... tunafanya interrogation. Yeye akiuliza maswali mbele ya mposaji, mimi huku nyuma ya kiti alichokaa huwa na-pace back and forth... (ile ya good cop bad cop)

Kati kati ya mazungumzo ya interrogation anaambiwa asimame na kuweka mikono ukutani halafu anapigwa sachi mpaka na pupitishiwa kwenye body scan.

Interrogation ikiisha anaambiwa rudi kwako.... subiri jibu wiki mbili zijazo. Huku akifanyiwa background check!
 
Back
Top Bottom