Acha hasira wewe, huku hatutukanani hapa ni hoja mwanzo mwisho..... kama unashindwa kudhibiti hasira yako japo kidogo kwa mtu unaemuona JF,Utaweza vip hata kupokea ushauri unaoambiwa na wadau, we umepewa ushauri halafu unamuita mtu zuzu... haipendezi... pole Heaven on earth...