tikatika
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 2,330
- 4,115
Watanzania kwa muda mrefu tumekua wamoja hata baada ya kuanzishwa vyama vingi. Tulikua tunapingana lakn kwa hoja.baada ya kupingana tukikaa pamoja tunajadili mambo ya kijamii kama wamoja.
Lakn hivi sasa tumepandikizwa chuki isiopimika. Na imejaa kweli kweli mioyon mwa watu . Ukitaka kujua tumefika huko angalia pale tunapopata matatizo tunasemana vipi. Hili si jambo la kufurahia hata kidogo.
tunawashangaa wengine katika nchi jiran kuwa na ukabila tumesahau kwa sasa sisi tumekua na uvyama.Lilianza taratibu kipindi cha Jk lakn kwa kiwango kikubwa lilikua linasimamiwa na viongoz wa chin ndani ya ccm hasa hasa Mwigulu enz hizo akiwa kiongoz ndan ya ccm aligeuka kuwa polisi.lejea kesi za ugaid alizokua anazisimamia na kufikia hatua ya kusema ana ushahidi mbinguni na dunian. Nashukuru kwa siku hiz kapunguza kidogo japo ndio kawa boss wa polisi kuliko zaman.
Siku hizi hii chuki inapandikizwa zaid na rais wetu. Ameibuka na kauli zenye kuleta mtengano katika taifa kias cha waliochini yake kushindwa kushirikiana na wapinzani wao kisiasa. Amewahi kuwakemea watu walioenda kumwona Lema akiwa gerezani na kuwaita ni wasaliti. Kwa sasa wale wote wanaompinga anawaita wasaliti wa Taifa. Anadiriki kusema hao wasaliti hawastahili ku survive. Jamii inayomuunga mkono inajaa chuki dhidi yao maana huwaona kama kweli ni wasaliti.
Je kwa hali hii kuna tumain la amani kwa hapo baadaye?? Ona kisa cha kupigwa Tundu Lissu. Et watu wanaotoa pole kwa mgonjwa imekua habari. Zaman kila mtu alikua na uhuru kufanya lolote na mpinzani wake kisiasa. Viongozi wawili wa ccm kutoa pole kwa Tundu Lissu imekua habar.mmoja wa singida na mwingine wa pwan. Kweli tunaona hili swala ni sawa?? Nyarandu kwenda kumwona Lissu ndio kabisaaaa kazua balaa kwa wenzie. Jaman tunachochea moto muda si mrefu utatuzid na tusiweze kuuzima.
Pls wazee mliopo karibu na rais wetu hebu ongeen naye tunakoenda siko. Muda si mrefu tutaacha hata kuzikana. Hiz kauli za pande mbili kufurahia mtu akipata matatizo si jambo jema. Watu kudiriki kumwombea mtu afe si jambo jepesi ni jambo kubwa mnoo. Kilichobaki ni kuchukua siraha na kuuana sisi kwa sisi. Japo hata sasa wanauwawa upande wa upinzan lakn itarud hata kwa upande wa chama tawala maana kila nafsi inaumia. Msifikiri wapinzani hawana roho wanayo ila hawajasema inatosha tusiombe ifike huko. Nalipenda taifa langu.