Siku England akija mfalme haitapendeza kabisa watu tushamzoea malikia

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
17,895
25,945
Aman iwe nanyi wakuu

Nawaza tu siku pale England aje king

Hii haitapendeza kabisa

Watu tushazoea kujiita watoto wa malikia

Hata league huwa tunaita league ya malikia

Hata kingeleza huwa tunakiita cha malikia

Sijui kama tutaweza kujiita watoto wa mfalme

Au kama tutaita league ya mfalme

Tutapata wakati mgumu sana

BOY FROM LONDON
 
Mrithi wa Malkia Elizabeth ni kijana wake mkubwa Charles, Prince of Wales.
Anayefuatia baada ya Charles ni mtoto wa Charles anayeitwa William, Duke of Cambridge, wa tatu kwenye mstari ni Prince George, mtoto mkubwa wa Prince of Cambridge, akifuatiwa na dada yake Princess Charlotte na mdogo wake wa kiume anayeitwa Prince Louis.
Wa sita kwenye mstari wa urithi ni Prince Harry -Duke of Sussex ambaye ni mtoto wa pili wa Prince Charles.
 
Aman iwe nanyi wakuu

Nawaza tu siku pale England aje king

Hii haitapendeza kabisa

Watu tushazoea kujiita watoto wa malikia

Hata league huwa tunaita league ya malikia

Hata kingeleza huwa tunakiita cha malikia

Sijui kama tutaweza kujiita watoto wa mfalme

Au kama tutaita league ya mfalme

Tutapata wakati mgumu sana

BOY FROM LONDON
Mrithi wa Malkia Elizabeth ni kijana wake mkubwa Charles, Prince of Wales.
Anayefuatia baada ya Charles ni mtoto wa Charles anayeitwa William, Duke of Cambridge, wa tatu kwenye mstari ni Prince George, mtoto mkubwa wa Prince of Cambridge, akifuatiwa na dada yake Princess Charlotte na mdogo wake wa kiume anayeitwa Prince Louis.
Wa sita kwenye mstari wa urithi ni Prince Harry -Duke of Sussex ambaye ni mtoto wa pili wa Prince Charles
 
Wa 7?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom