siku ccm ikishindwa na chadema

mjuaji

Senior Member
Apr 6, 2012
166
22
wana JF hebu fikilia CCM ikipigwa na CDM MAFISADI wataishije TANZANIA? viwanja vya mpira mnashaurije?.toa maonim yako.
 
wana JF hebu fikilia CCM ikipigwa na CDM MAFISADI wataishije TANZANIA? viwanja vya mpira mnashaurije?.toa maonim yako.
Mafisadi wataishi Jela viwanja vya mpira vitarudishwa serikalini sio viwanja tu bali vyote vilivyopatikana wakati wa chama kimoja vitarudi serikalini ili nao nyinyiemu watafute vya kwao,kwa nguvu ya wanachama wao vipofu
 
Back
Top Bottom