DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,472
Mzee umekurupuka. Naona una ndoto ambazo haziwezi timia kamwe kama huna mkakatati wowote. Tuambie kwanza ccm iachie madaraka kwa sababu zipi hasa katika siasa zetu hiI za majitaka za sasa. Eleza sababu kwanza kwa nini iachie na wewe utakayeingia utakuwa na mikakati gani. Usilete usanii usanii tu kama waliofanya kina Mbowe eti unataka kwenda ikulu kwa mtaji wa kundi la mafisadi wa nchi hii.. pyuuuuuu......f! Chsssssssss!
- Hakutakuwa na shamrashamra zozote mitaani
- Watu watakwenda makazini na kwenye shughuli zao za kiuchumi kesho yake kama kawaida
- watu hawatajifungia siku 3 majumbani wakisubiri kwa hofu kubwa kitakachotokea
- hakutakuwa na ibada za kisiasa za kuiombea nchi amani
- watu hawatakuwa wanajali siasa kwa kuwa kiukweli maisha yao ya kila siku hayatakuwa yanategemea siasa
- Mwenyekiti wa NEC hatakaa kwenye TV kwa siku nne anatangaza matokeo jimbo moja mpaka lingine. "Ule utaratibu wa Uchaguzi wa 2015 ulikuwa na maana gani hasa?" Historia itauliza.
Siku hiyo inakuja.