Siku akikubali natangaza ndoa/ nipeni maarifa

Am a star

Senior Member
Joined
Sep 22, 2015
Posts
167
Reaction score
158
Wakuu!!!

kwa kawaida mimi ni mtu wa kuchagua sana mtu wa kua nae kwenye mahusiano...pamoja na hilo chaguo langu la mwisho lilinijeruhi moyo wangu kisawasawa, nikaamua kuweka kando mambo ya mahusiano.

Hali ya kupenda
kujali na
kuvumilia
ikapotea kwangu..

Mara paap nikakutana na mrembo mmoja ambae kwa hakika ameugusa moyo wangu anasifa nyingi kati ya ninazohitaji ni wife material. yuko mwaka wa kwanza chuo siendi kichwa kichwa ninachukua tahadhari nyingi yasijirudie ya mwanzo.

nikatafuta namba yake nikarusha ndoano. akajibu

"Me and you we all know that
it's not a right time to be discussing
about such issue, and i can not promise you anything also its not right before God.
i will appreciate if you understand."

baada ya kuona sms nikafurahi maana nilitegemea jibu kama hilo au karibu na hilo kwa wife material..

tatizo ni ukaribu wangu na yeye si mkubwa sana mbinu za pesa na zawadizawadi hazifui dafu ni kama hapendi hizo

nimemwambia kuna kazi nitamtumia kwa email anisaidie kufanya ukweli ni kua sina kazi yoyote ila nilikosa swaga ameonesha kuchangamka na akanipatia email yake.. hata sasa sijui namtumia kazi gani

nimeishiwa akiri kwa huyu wife to be ila hawa wengine wa duniani huko hua haichukui round .. akizingua chips, mara zawadi ya hereni, mara saa (yumo) ila huyu hizo sio kitu nipeni ujanja nitawapa kadi wakati ukifika JF.

muandiko mbaya sio dhambi
 
Kwa sasa sizan km Luna haja ya kudanganya saaana coz ata yeye anatambua nin kinachoendelea cha msingi ww funguka km unahis n right choice in a right time. Unaweza mdanganya sana alafu akaja jua kabla wew ujafanikiwa akakuona ulikua kwake ili umtyumie tu
 
Ndoa ni ile iliyoandikwa kwa sheria au dini, au shuruti baada ya hatia ya kuzini?/

Ndoa si pete zinazozonga mikono, ndoa ni upendo uliobakia baada ya kuchoka kingono/
 
Kila la kheri...

Ila nikuambie tu mwanamke wa mwaka wa kwanza chuo kwa hiyo meseji asilimia 98 unadanganywa.

Ukishamwonyesha mwanamke unamhitaji zaidi ya anavyokuhitaji utayachukia mapenzi....

Nisiandike saana maana hakuna aliyewahi kuwaelewa.
 
Muombe mtoke out, then mpeleke sehemu nzuri ambayo hata yy akifika tu mazingira ya hiyo sehemu yamvutie halafu mjue kidogo(historia yake, ndugu zake n.k)
Ukimaliza hapo sasa mfungukie ya moyoni mpaka yaishe,, wakati mnazungumza agiza na misosi ya maana ale ashibe. Usilazimishe akupe jibu siku hyo hyo mpe muda, usiache kumjulia hali kila siku na vizawadi vya hapa na pale.
 
Kwa sasa sizan km Luna haja ya kudanganya saaana coz ata yeye anatambua nin kinachoendelea cha msingi ww funguka km unahis n right choice in a right time. Unaweza mdanganya sana alafu akaja jua kabla wew ujafanikiwa akakuona ulikua kwake ili umtyumie tu
kwa hakika anagusa hisia zangu. sina mpango wa kumdanganya ukaribu wetu sio mkubwa
 
Kila la kheri...

Ila nikuambie tu mwanamke wa mwaka wa kwanza chuo kwa hiyo meseji asilimia 98 unadanganywa.

Ukishamwonyesha mwanamke unamhitaji zaidi ya anavyokuhitaji utayachukia mapenzi....

Nisiandike saana maana hakuna aliyewahi kuwaelewa.
nilimweleza yaliyo moyoni akanijibu kwa hiyo sms juu, sijawahi kuzungumzia tena swala hilo wala kuonesha namuhitaji sana ni salamu na story chache chache tu.. ila moyoni mwangu najua kua namkubari, siendi kichwa kichwa nilishapata itilafu kabla.
 
Muombe mtoke out, then mpeleke sehemu nzuri ambayo hata yy akifika tu mazingira ya hiyo sehemu yamvutie halafu mjue kidogo(historia yake, ndugu zake n.k)
Ukimaliza hapo sasa mfungukie ya moyoni mpaka yaishe,, wakati mnazungumza agiza na misosi ya maana ale ashibe. Usilazimishe akupe jibu siku hyo hyo mpe muda, usiache kumjulia hali kila siku na vizawadi vya hapa na pale.
may be let me try, familia yake ni BORN AGAIN MUNGU KWANZA.
 
Wakuu!!!

kwa kawaida mimi ni mtu wa kuchagua sana mtu wa kua nae kwenye mahusiano...pamoja na hilo chaguo langu la mwisho lilinijeruhi moyo wangu kisawasawa, nikaamua kuweka kando mambo ya mahusiano.

Hali ya kupenda
kujali na
kuvumilia
ikapotea kwangu..

Mara paap nikakutana na mrembo mmoja ambae kwa hakika ameugusa moyo wangu anasifa nyingi kati ya ninazohitaji ni wife material. yuko mwaka wa kwanza chuo siendi kichwa kichwa ninachukua tahadhari nyingi yasijirudie ya mwanzo.

nikatafuta namba yake nikarusha ndoano. akajibu

"Me and you we all know that
it's not a right time to be discussing
about such issue, and i can not promise you anything also its not right before God.
i will appreciate if you understand."

baada ya kuona sms nikafurahi maana nilitegemea jibu kama hilo au karibu na hilo kwa wife material..

tatizo ni ukaribu wangu na yeye si mkubwa sana mbinu za pesa na zawadizawadi hazifui dafu ni kama hapendi hizo

nimemwambia kuna kazi nitamtumia kwa email anisaidie kufanya ukweli ni kua sina kazi yoyote ila nilikosa swaga ameonesha kuchangamka na akanipatia email yake.. hata sasa sijui namtumia kazi gani

nimeishiwa akiri kwa huyu wife to be ila hawa wengine wa duniani huko hua haichukui round .. akizingua chips, mara zawadi ya hereni, mara saa (yumo) ila huyu hizo sio kitu nipeni ujanja nitawapa kadi wakati ukifika JF.

muandiko mbaya sio dhambi
Mpe kadi yako ya Benki,kadi ya kupigia kura,kitambulisho cha uraia,vyeti vyako vya taaluma,cheti cha ukimwi,CV yako ya mahusiano na experience in A4 size pamoja na picha passport tatu za karibuni
 
Kila la kheri...

Ila nikuambie tu mwanamke wa mwaka wa kwanza chuo kwa hiyo meseji asilimia 98 unadanganywa.

Ukishamwonyesha mwanamke unamhitaji zaidi ya anavyokuhitaji utayachukia mapenzi....

Nisiandike saana maana hakuna aliyewahi kuwaelewa.

Boss ungeendelea kidogo tu
 
Mpe kadi yako ya Benki,kadi ya kupigia kura,kitambulisho cha uraia,vyeti vyako vya taaluma,cheti cha ukimwi,CV yako ya mahusiano na experience in A4 size pamoja na picha passport tatu za karibuni
nadhani huo utakua uzembe sijapenda kufikia huko niile upendo wa kwamba huyu naweza nikamvumilia..
 
Ety sijui namtumia kazi gani

Mkuu achana na wanachuo watakuchosha bure, kama anampango wa kusoma miaka mitano utamsubir hadi 2024 bila kutafuta demu mwingine???
Alafu demu ambae hajawa hata na utayar bado, unawezaje kuwaza ndoa!!!
 
Mwanamke hapendi pesa? Kuwa serious kama hapendi zako kuna za jamaa anazipenda.
 
Back
Top Bottom