Kuna watu wamemmind sana kitaa lakini, kwa hiyo he better watch out, not to that extent.Hahahaaa umeona eeh...
Au anaweza kusema 'kuwashwa washwa kwake ndo kumemponza'.
Jamaa akili yake anaijua mwenyewe aisee.
Ngabu Mara hii umeshakuwa msemaji wa baba jescaKama nilivyokuwa natarajia baada ya kupata habari za jaribio la kuchukua uhai wa Tundu Lisu, akili za watu wengi ziliwatuma kumhisi rais Magufuli kuwa ndiye anahusika na jaribio hilo.
Mpaka sasa huyo bwana mkubwa hajalizungumzia tena hadharani hilo jambo zaidi ya yale maneno yake machache ya kulaani hilo shambulio kwenye mtandao wa Twitter.
Maneno mengi sana yanasemwa na nadharia kadha wa kadha zimebuniwa kuhusu uhusika wake.
Na kwa kadri nijuavyo yeye hajasema lolote juu ya hayo yanayosemwa. Naamini hajasema hivyo kwa makusudi tu na si kwa sababu hajui kuwa anasemwa semwa na kuhisiwa kuwa yeye ndiye mhusika.
Naamini huwa anapita sana humu na kusoma yanayosemwa na watu anaowaongoza.
Lakini naamini pia ya kwamba ipo siku atalizungumzia tu hili suala.
Na hiyo siku ikifika, maneno atakayoyasema, yasije tu kuwaliza. Yule bwana siyo mtu wa PC [political correctness].
Mdomo wake hauna chujio. Yatokayo huwa yanatoka hivyo hivyo yalivyo. Hayapitii chujio wala uhariri.
Siku ya yeye kulizungumzia hilo suala, naamini atakwaruza na kujeruhi hisia za watu wengi.
Hivyo kaeni mkao wa kupokea maneno ambayo hamkuyataraji.. msije tu mkasema Ngabu hakuwatonya!
Ni mimi wenu mtiifu katika ujenzi wa taifa,
Alhaji Ngabu.
Yeye mwenyewe anajipigia upatu labda atakumbukwa Lumumba buku 7anamtaftia mdg wake u dc huenda aliemwacha huko NTUZU
Mwenzio kasema nyau we unasema pweza nasubiri atakaemuita changu.Choko mchokoe pweza..siku akijibu mwanaume watatafutana
Hivi we si uko nje ya nchi?? Nakushauri baki tu huko huko,maana naona ni tia maji tia mjai tu.
Hahahaha hata mimi nawaza tu akija ongea kuhusu hili jambo anaweza chafua kabisa hali ya hewaKama nilivyokuwa natarajia baada ya kupata habari za jaribio la kuchukua uhai wa Tundu Lisu, akili za watu wengi ziliwatuma kumhisi rais Magufuli kuwa ndiye anahusika na jaribio hilo.
Mpaka sasa huyo bwana mkubwa hajalizungumzia tena hadharani hilo jambo zaidi ya yale maneno yake machache ya kulaani hilo shambulio kwenye mtandao wa Twitter.
Maneno mengi sana yanasemwa na nadharia kadha wa kadha zimebuniwa kuhusu uhusika wake.
Na kwa kadri nijuavyo yeye hajasema lolote juu ya hayo yanayosemwa. Naamini hajasema hivyo kwa makusudi tu na si kwa sababu hajui kuwa anasemwa semwa na kuhisiwa kuwa yeye ndiye mhusika.
Naamini huwa anapita sana humu na kusoma yanayosemwa na watu anaowaongoza.
Lakini naamini pia ya kwamba ipo siku atalizungumzia tu hili suala.
Na hiyo siku ikifika, maneno atakayoyasema, yasije tu kuwaliza. Yule bwana siyo mtu wa PC [political correctness].
Mdomo wake hauna chujio. Yatokayo huwa yanatoka hivyo hivyo yalivyo. Hayapitii chujio wala uhariri.
Siku ya yeye kulizungumzia hilo suala, naamini atakwaruza na kujeruhi hisia za watu wengi.
Hivyo kaeni mkao wa kupokea maneno ambayo hamkuyataraji.. msije tu mkasema Ngabu hakuwatonya!
Ni mimi wenu mtiifu katika ujenzi wa taifa,
Alhaji Ngabu.
Mwenzio kasema nyau we unasema pweza nasubiri atakaemuita changu.
Hahahaha hata mimi nawaza tu akija ongea kuhusu hili jambo anaweza chafua kabisa hali ya hewa
Pilato 007
Mkuu unaamini kuwa kuwa umekatika utii wa mgongo??Wewe ni EK?
Kweli yaani jitu linasema linawashwawashwa tuliombee msemakweli mpenzi wa mungu.
Nimfatilize wapi mi nafatiliaga wasio na akili nzuri??? Nilipataga ubuyu wake tu basi ndio nikajua,mi nafatiliaga tia maji tia maji!!!mbiti niombe msamaha
Mkuu unaamini kuwa kuwa umekatika utii wa mgongo??
Pengine shemale[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]am sole mama lao hahaa ananikeraga sana huyu ! mashauziiiiiiii km she bwana
Hana lolote yule . Alafu dizaini kama jamaa anazeeka kwa spidi ya jet.Yule kichaa siwezi kushanga akisema "kwani tukitaka kumuondoa mtu kimya kimya tunashindwa?"
Uliambiwa ukweli kwanini ulizaliwa baada ya miezi tisa???Mimi si muumini. Ni mjuaji.
Mods hawajakuona ukala ban!?? Mkuu hebu tuliza jazba