Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,926
- 6,575
Kijili aliambiwa na nani ajifunge?2023 Simba anampiga Gamond anabeba ngao ya Hisani. 2024 Kijili anajifunga Gamond anatoka bila Shoot on Target.
5-1 GSM anawanunua Chama, Manula na Inonga timu inapoteza kwa Hujuma. Kwa kifupi Gamond hajawahi kuwa na ubabe kwa Simba ni stori za ushabiki.
Endelea kujidanganya ila tambua kwamba Rekodi zake zitahesabika hivyo ukubali ukatae2023 Simba anampiga Gamond anabeba ngao ya Hisani. 2024 Kijili anajifunga Gamond anatoka bila Shoot on Target.
5-1 GSM anawanunua Chama, Manula na Inonga timu inapoteza kwa Hujuma. Kwa kifupi Gamond hajawahi kuwa na ubabe kwa Simba ni stori za ushabiki.
Yote tisa sie tunajua Katimuliwa Kabla ya Xmas!Endelea kujidanganya ila tambua kwamba Rekodi zake zitahesabika hivyo ukubali ukatae
Sawa ila tutaendelea kuenjoy na soka la kutoka UjerumaniYote tisa sie tunajua Katimuliwa Kabla ya Xmas!
Kula chuma hiyooo.Sawa ila tutaendelea kuenjoy na soka la kutoka Ujerumani
Baada ya kuitumikia Yanga kwa siku 511, kocha Miguel Gamondi leo Novemba 15, 2024 ameonyeshwa mlango wa kutokea kwa kile kinachoonekana ni uongozi wa Yanga kutoridhishwa na mwenendo wa timu msimu huu hasa baada ya kupoteza mechi mbili mfululizo za Ligi Kuu dhidi ya Azam FC na Tabora hivi karibuni.
Kumbukumbu zinaonyesha siku 511 ambazo Gamondi ameitumikia Yanga zimekuwa ngumu kwa watani wao wa jadi Simba kutokana na kocha huyo kuiongoza timu yake kutwaa mataji yote muhimu ambayo Simba ilikuwa imepanga kuyatwaa lakini pia kuiwezesha yanga kupata matokeo mazuri kwenye mechi dhidi ya watani wao wa jadi.
Soma Pia: Rasmi: Yanga yavunja Mkataba na Gamondi
Mchezo wa Ngao ya Jamii kule Tanga Kufungua msimu wa 2023/ 2024
Simba 0 - 0 Yanga ( Yanga akafungwa kwa penati na Simba akawa bingwa)
November 5 2023
Simba 1- 5 Yanga ( Ligi kuu ya NBC), Mzunguko wa pili Yanga 2 - 1 Simba ( Ligi kuu ya NBC),
Msimu wa 2024/2025
Ngao ya Jamii
Simba 0 - 1 Yanga ,
Ligi kuu Mzunguko wa kwanza Simba 0 - 1 Yanga
Kwahiyo ukitazama katika game walizokutana kati ya Yanga na Simba, Yanga walipoteza game moja pekee. Kwahiyo Simba watabaki na kumbukumbu ya kupasuka mara nyingi na Yanga chini ya Kocha Gamond.
View attachment 3153222
Kama ingekuwa hivi Simba SC asingekosa ubingwa mara 4 mfululizo mpira ni sayansi mastaKula chuma hiyooo.
Hivi ndivyo Utopolo mlikuwa mnaziba Camera Chamazi ili mchome Sindano na kuweka Uchawi.
Kesho tutarusha za Sindano endeleeeni kutuchokoza, UBAYA UBWELAAAAA!
Kawaida yenu kuzusha taarifa za uongo endeleni mtaacha wenyeweKula chuma hiyooo.
Hivi ndivyo Utopolo mlikuwa mnaziba Camera Chamazi ili mchome Sindano na kuweka Uchawi.
Kesho tutarusha za Sindano endeleeeni kutuchokoza, UBAYA UBWELAAAAA!
Gamondi aliwaliza sana MakoloBila bahasha za GSM kwa marefaree na kununua baadhi ya wachezaji wa simba hakina Chama , Inonga na Baleke Yanga hana uwezo wa kuifunga simba
Kijili alichomwa sindano na Yanga akapata nguvu zilizopitiliza akajifunga.Kijili aliambiwa na nani ajifunge?