Imefanya nini?Wapendwa nachukua nafasi hii kutaja hadharani kuwa ni kipindi cha vita nchini Ukrain kuisha na mateso kwingineko yatokanayo na vita hiyo.
Mungu mwenyewe atawaua wote wanaohusika na kusababisha vita hivyo kabla ya kufika tarehe 01/1/2023.
Wote wanaowaombea Ukrain, USA, NATO na washirika wake kwa pamoja tufunge na kuomba ili vita iishe
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Mkuu waombee na Wacongoman waafrica wenzetuWapendwa nachukua nafasi hii kutaja hadharani kuwa ni kipindi cha vita nchini Ukrain kuisha na mateso kwingineko yatokanayo na vita hiyo.
Mungu mwenyewe atawaua wote wanaohusika na kusababisha vita hivyo kabla ya kufika tarehe 01/1/2023.
Wote wanaowaombea Ukrain, USA, NATO na washirika wake kwa pamoja tufunge na kuomba ili vita iishe
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Hujui chanzo unaombea shetani.Wapendwa nachukua nafasi hii kutaja hadharani kuwa ni kipindi cha vita nchini Ukrain kuisha na mateso kwingineko yatokanayo na vita hiyo.
Mungu mwenyewe atawaua wote wanaohusika na kusababisha vita hivyo kabla ya kufika tarehe 01/1/2023.
Wote wanaowaombea Ukrain, USA, NATO na washirika wake kwa pamoja tufunge na kuomba ili vita iishe
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Hujui chanzo unaombea shetani.
NATO wamekiuka mikataba ya amani kwa miaka 30. Mkataba unakataza NATO kujipanua ili Russia ajizuie . NATO imeendelea kujipanua hadi mlangoni kwa Russia sasa unategemea nini?
Acha wachapwe , ujinga wao ni fahari yao.
Mshikaji Ni mnafiki wa standard gaugeKwa Ukraine ndio Kuna vita tu mataifa mengi Kuna vita hata Congo JIRANI Yako kuna vita
Samahan mkuu ebu niambie biblia inasemaje kuhusu mapenz ya jinsia mojaImekwisha Imekwisha Imekwish, hana maisha tena Mungu atamchukua muda si mrefu.
Hana msamaha tena
Sisi tuliomba mwanzo kabisa wa vita mwezi February mwaka jana na Mungu akasema Ukraine atashindaKufunga kutaanza tarehe 30/11/2022 mpaka 01/1/2023
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Zero brain kajisomee utayakuta yamejaa tangu 1945.Uweke hapa huo mkataba unaokataza NATO kujipanua.
Uongo mtupu na porojo za vijiweni.
NATO-Russia Founding Act 1997, makubaliano yaliyokubaliwa na kusainiwa kati ya Boris Yelstin aliyekuwa Rais wa Russia na viongozi wa NATO ilikubalika kila taifa lina uhuru wa kujiamulia njia na mustakabali wa usalama wake na hilo liheshimiwe.
Hata Mimi mungu atachukua uhai wangu, hata we'we! Hata Putin Hilo halina shaka.Mungu hujibu na hutenda kwa muda wake
Ila jua Putin lazima Mungu atachukua maisha yake
Hata sisi waponda kokoto tunalazimika kufunga? Au hii ni kwa watumia kalamu kujitengenezea kipatoWapendwa nachukua nafasi hii kutaja hadharani kuwa ni kipindi cha vita nchini Ukrain kuisha na mateso kwingineko yatokanayo na vita hiyo.
Mungu mwenyewe atawaua wote wanaohusika na kusababisha vita hivyo kabla ya kufika tarehe 01/1/2023.
Wote wanaowaombea Ukrain, USA, NATO na washirika wake kwa pamoja tufunge na kuomba ili vita iishe
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Acha ufara huna kazi ya kufanyaHuyo Jemedari mtesi wa watu Mr. P atakufa na vita itaisha mara 1.
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
We kocho ndo mungu hatachukua uhai wakoMungu hujibu na hutenda kwa muda wake
Ila jua Putin lazima Mungu atachukua maisha yake
We jamaa ulipigaMuache kuombea Taifa lenye kupinga ushoga nyie mnaombea Taifa lenye kisapoti na kupromote ushoga? Huyo ni Mungu gani mnayemuomba? Ni huyu huyu aliyeteketeza sodoma na gomora au mwingine? Hayo maombi yatakuwa kinyume chake! Na majibu mtayaona!
Atakaebaki nan sasa? Wewe au?Mungu hujibu na hutenda kwa muda wake
Ila jua Putin lazima Mungu atachukua maisha yake