Unashindwa kuwaombea ndugu zako wanaopata shida hapa Afrika unapoteza kuombea mashoga wazungu!!Kufunga na kuomba kuanzia tarehe 30/11/2022 Mpaka tarehe 01/1/2023 muda kuanzia asubuhi hakuna kula mpaka jioni ya jua kuzama ndio tutakuwa tunakula.
Ukiwa utapenda kushiriki lakini una matatizo kiafya ambapo hauwezi kujizuia Kula basi unaruhusiwa Kula lakini shiriki maombi na kutwa panga kuomba sio chini ya mara 3.
Tafadhali usipange kukosa na ili tujijue kama nashiriki basi usiache ku comment ili tujijue wale ambao tutashiriki
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Cry me a river........wazungu wamalizane tu sie hatuna shidaPutin Akistop kabla ya 1/1/2023 atapona kifo akitubu lakini Mungu anatenda na haraka sana tena kwa kushangaza
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
kafika kherson lkn yule Andunje tang aipole Crimea anaogopa hata kuwapigia simu ya salam [emoji23][emoji23] sijui nan comedian hapoKwenye maombi yenu muombeeni sana zelensky the comedian solder
Chief sielewi kisukuma andika kiswahili.kafika kherson lkn yule Andunje tang aipole Crimea anaogopa hata kuwapigia simu ya salam [emoji23][emoji23] sijui nan comedian hapo
Mambo yafuatayo yametia giza tororo kwenye akili na roho yako-:Huo ni ujuha na kukosa akili za Kiroho.
Ulishindwa kuifunga hiyo vita kabla haijatokea leo ndo unakuja na ujuha huu?
Mungu angetaka kukupa kazi ya kukomesha hiyo vita angekupa kabla haijaanza na ungeistopisha.
Huo unaoufanya ni ujinga wa Kiroho.
Uache kula kwasababu ya Ukraine ilhali Tanzania maelfu wanakufa kwa magonjwa na lishe duni kwasababu ya umaskini. Hilo hulioni?
UnafuturishaJamani wanajukwaa: kesho tunaanza rasmi kufunga, epuka kutoa lugha chafu yaani kukwaza na kukwazuka, epuka kuonyesha huzuni kwani funga ni furaha na ni ibada, epuka Kula chakula kingi kwa mara 1 unapofungua,
Unapofungua anza na vyakula laini na subiri muda upite ndipo upate chakula a kwa kiasi.
Muda wa kufungua kula ni baada ya jua kuzama Wastan ya saa 12 kijioni na pia mwisho wa kula ni saa 9 alfajiri
RUSSIA TAIFA TEULEHapa Urusi sio Taifa teule, Taifa teule ni Israel ikifutwa na USA,
Hivi sisi ambao tunachukua hatua ya kumkimbilia Mungu ndio mtu aseme tunajipendekeza kwa wazungu? Hapana kwani agizo la Mungu la kumpenda mwenzio haikutuwekea matabaka ya rangi au bara.
Wenzetu wanapigana vita ya kimwili damu na nyama. Sisi tutapigana pamoja nao kwa jina la YESU
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Haya shinda njaaa salamaaJamani wanajukwaa: kesho tunaanza rasmi kufunga, epuka kutoa lugha chafu yaani kukwaza na kukwazuka, epuka kuonyesha huzuni kwani funga ni furaha na ni ibada, epuka Kula chakula kingi kwa mara 1 unapofungua,
Unapofungua anza na vyakula laini na subiri muda upite ndipo upate chakula a kwa kiasi.
Muda wa kufungua kula ni baada ya jua kuzama Wastan ya saa 12 kijioni na pia mwisho wa kula ni saa 9 alfajiri
Zainabu sembeJamani habarini za asubuhi?, huduma yetu ya kufunga imeanza.
Tafadhali tuonyeshe mayendo ya wema kwa wenzetu kama,
Kuwaapisha kwenye vitu wazee au wajawazito wagonjwa na misaada mingine.
Tusitumie lugha mbaya na kuacha hasira yaani tuwe wapole.
Kumbuka kuomba zaidi ya mara 3 popote ulipo.
Usiache kwenda kazini au kufanya shuguli zako kwa sura ya Tabasamu.
Kumbuka tunaiombea Ukrain, USA na na NATO Mungu astpishe vita kwao na hao watesi wa watu wasipoacha haraka Wafe wao ili vita iishe.