Siku 200 za Lowassa UKAWA

Lowassa is finished.

Hata usanii wake kwa sasa ameshindwa kuuza kwa wananchi wengi pamoja na kubebwa na vyombo vingi vya habari nchini.
Tuliambiwa Tume iliundwa na waganga wa kienyeji, wakulima, makundi ya walemavu, wanafunzi na viongozi wa dini

Hats hivyo Mzee kingunge, Tulia,yule binti wa znz, na mkulima na yule shekhe kama nao haukuwa usanii
 
Cdm kuwaamini unatakiwa uwe na akiri ya kushikiwa. Imeimaritka wapi cdm? Hatumssikii mwenyekiti wala katbu chama ameachiwa lowasa
Chama ni Taasisi si katibu wala mwenyekiti tu,acha kuwa na mawazo mgando
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…