Imeimalikaje sasa?cdm uongozi ulifanya mambo ya mkanganyiko kibiashara,kwa nn kujifariji na mambo yalionekana?ni bola kutoa ushauli wa uchaguzi ujao,mtu aliyechafuliwa alikuja kulipa kisasi cdm na watu hawastuki tu aisee! na wengine wakakubali jamaa aje alipe kisasi wakalamba pesa,mapenzi ya chama pasi kufikili kwa kina tukaishia kutoa pongezi ni kujidanganya
Madudu yalikuwa mengi sana awamu ya 4...hiyo ndo nafasi pekee mliyokuwanayo ila mkachemka kwa kupokea mapandikizi ya chichiemu..subirini muone kama hilo jahazi litatoa nanga hapo