FORTUNE JR
Member
- Mar 20, 2021
- 69
- 339
- Thread starter
- #41
Maswala ya show mbovu ni skendo kiukweli kama nilivyotangulia kusema . Ila swala la Mchizi kujipiga kitanzi kwa Kusalitiwa ni ukweli kabisa. Na kwanini nidanganye sasa Mkuu tena kwenye issue ya kifoNa naomba ikumbukwe huyu mwamba aliyenifunza hii kitu, Alifariki Mwakajana kwa Kujinyonga kwa skendo za kusalitiwa na pisi yake moja alikua anaipenda kweli kweli. Na za chini zaidi inasemekana mwana alisalitiwa kwa kuwa na show mbovu.
Hapo umetupiga na kitu kizito