Sasa kama alikaa madarakani kwa muda wa siku 800 akiwa Waziri Mkuu na hakufanya hayo atawezaje ndani ya siku 100? Tumia akili. Lowasa ni sumu iliyojificha ndani ya asali
Baada ya hizo siku. Atuibie tena? # hapa ni kazi tu.
Mhhhh!! Hayo yote ndani ya siku 100. Nadhani hata baraza la mawaziri litakuwa bado halijaanza kazi.
Vipaumbele vitatu.Hatuhitaji mtu ambaye utawala wake ni wa siku 100 tu. kiongozi mzuri ni yule anayepanga mikakati ya zaidi ya muongo mmoja
Sasa kama alikaa madarakani kwa muda wa siku 800 akiwa Waziri Mkuu na hakufanya hayo atawezaje ndani ya siku 100? Tumia akili. Lowasa ni sumu iliyojificha ndani ya asali
Nani kakwambia DART itapunguza foleni DSM akili zako za kushikiwa ww.DART ni mradi wakufanya mabeberu wachache washikirie ishu ya usafiri DSM wapige pesa wao waweke daladala za maskini pembeni wakauze kahawa magomeni4. Kuhusu kupunguza foleni ya Dar es Salaam, hilo tayari lipo kwenye utekelezaji. Miundombinu ya DART inaendelea kukamilishwa na zaidi ya mabasi 140 yameshaingia nchini. Mabasi hayo ni ya kisasa na makubwa ambayo yatapita kwenye njia rasmi na hivyo kuharakisha movement ya magari. Kweli Lowasa ni tapeli
Wakati akiwa madarakani Kikwete alikuwa Msoga analima mihogo, siyo??Sasa kama alikaa madarakani kwa muda wa siku 800 akiwa Waziri Mkuu na hakufanya hayo atawezaje ndani ya siku 100? Tumia akili. Lowasa ni sumu iliyojificha ndani ya asali
6. Kuhusu tatizo la maji nchini, Lowasa alikuwa Waziri wa Maji na wakati huo hakuweka mipango yoyote ya kuondoa tatizo hilo. Hata jimbo la Monduli analoliongoza, wananchi wanakunywa mikojo ya Ng'ombe kwa kukosa maji safi na salama licha ya yeye kujinasibu kuwa anauchukia umaskini. Kwa sasa serikali inatekeleza mpango kabambe wa kuondoa tatizo hilo kwa vijiji vyote ambapo kila mwaka halmashauri hupewa fedha za miradi ya maji kwa vijiji zaidi ya 10
Sasa kama alikaa madarakani kwa muda wa siku 800 akiwa Waziri Mkuu na hakufanya hayo atawezaje ndani ya siku 100? Tumia akili. Lowasa ni sumu iliyojificha ndani ya asali
Umeujuaje uwezo wake? Mnasaidiana na mama Regina??na hiyo ndani ya siku 100 asisahau kutuwekea na treni za umeme(sub way) ili na sisi tuwaringishie Kenya.
maana uwezo anao
1. Magufuli ameshalisemea sana hili la madawa kwenye hospitali za serikali. Lowasa kacopy tu kwa mzee wa push up
7. Kuhusu mfumo rafiki na bora kwa wafanyabiashara, hilo linajulikana kuwa utawala wa Lowasa ni wa kukumbatia wakwepa kodi kwa vile hao ndio wanaompeleka Ikulu. CCM imeshamaliza kutengeleza mfumo na kwa sasa kinachoendelea ni kutoa elimu kwa wafanyabiashara ili walipe kodi bila ya shuruti