Sikomi Vs Niache? By D`Mond , Ipi kali

Sikomi Vs Niache? By D`Mond , Ipi kali

ubarinolutu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
2,773
Reaction score
5,851
Hivi wataalamu nimekuwa nikijiuliza kati ya hizi ngoma alizoziachiga diamond platnumz siku 1, yaani Niache na Sikomi, ipi ni ngoma kali kati ya hizi?
Maana dah c mchezo hizi ngoma japo mimi naona kama niache ndo kali sana.
Toa mawazo yako.
Pia lini ali kiba atatoa wimbo maana toka seduce me imetoka dmond mwenzie kashaachia ngoma kama 7 hivi. Kwanini basata wasimpige faini kwa kuchelewa kutoa wimbo huku mashbiki tunasubiri kwa hamu
 
Hivi kaimba au kataja taja tu mademu zake ?

SIKU HIZI MUZIKI NI KUTAJA TAJA TU MADEMU ZAKO ULIOGONGAAA !
 
Tuwekeeni hizo nyimbo hapa ili na sie tuziskilize , tupate cha kusema
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom