Sikitiko la MOYO

Sikitiko la MOYO

uncle J4

Member
Joined
Jan 2, 2018
Posts
25
Reaction score
28
Kila mtu na jinsi na jinsi anavyopokea upendo katika moyo wake, na ndio maana kuna mtu akiachwa anajiua na kuna mwingine anacheka tu na maisha yanaendelea..

Namna unavyoweza kujisikia wewe kuhusu uwezo wako wa ku_hundle hisia zako kali za mapenzi ni tofauti sana na wengine.

Usi_judge watu kutokana na vipimo ulivyonavyo wewe kwani watu hatufanani.

"Sikitiko la MAHABA zaidi ya MSIBA,
Sikitiko la MOYO zaidi ya MWIBA".

NB:FURAHA huja baada ya MAUMIVU lakini MAUMIVU hutengeneza UTULIVU japo UTULIVU huunda CHUKI.
 
U tofauti uliopo katika kupokea mambo ya nje (External response) au ndani (Internal response) ya mwili wa mwanadamu husika hutegemeana na TAFSRI katika chekecheo la akili upande wa uwezo wa kufikiria (Cognitive) ambayo pia hutofautiana katika kuamusha HORMONES either za huzuni au furaha au kuwaa kawaida

Ndo maana utakuta watu waliopata tatizo la aina moja wengine wanacheka wengine wananuna wengine wanalia na wengine hawaeleweki kama wameguswa au la!

Na huwezi Ku command mtu katika reaction kwenye issue yeyote,then it comes automatically
 
Back
Top Bottom