MONA WA KYEN
JF-Expert Member
- Dec 23, 2016
- 340
- 271
Habari za muda huu wana jukwaa, samahani nina tatizo naombeni mnisaidie zimepita siku kama nne hivi nilisikia masikio yangu yanawasha sana nikaamua kuchukua pamba na kusafisha. nilipomaliza kuyasafisha sikio moja la kulia lilianza kupiga sana kelele linapiga kelele mpaka uwezo wa kusikia umepungua hebu niambieni tatizo ni nini?
2. nikipokea simu nikiweka kwenye sikio lolote baada ya muda nikiwa naongea masikio yanaanza kuuma hebu nisaidieni tatizo ni nini?
ahsanteni naamini nitapata msaada kwenu.
nina miaka 25.
2. nikipokea simu nikiweka kwenye sikio lolote baada ya muda nikiwa naongea masikio yanaanza kuuma hebu nisaidieni tatizo ni nini?
ahsanteni naamini nitapata msaada kwenu.
nina miaka 25.