Kuna jamaa kapata accidents hapa,Sasa katika maelezo ya daktari tunaambiwa mfupa was sikio la jamaa umesagika sasa, shida yangu ni kuelewa je, sikio lina mfupa?
Kuna jamaa kapata accidents hapa,Sasa katika maelezo ya daktari tunaambiwa mfupa was sikio la jamaa umesagika sasa, shida yangu ni kuelewa je, sikio lina mfupa?
kuna misuli inayosaidia ndio maana iko flexible kiasi chakuweza ku_romance. Somo la biology limeeleza vizuri labda kama ulikimbia umande, ila sidhani. Bila mifupa tusingekua na shape hii tulionayo pengine tungekua kama minyoo au lava. Nb: kwenye mwili wa binadamu sehemu yenye mifupa midogo zaidi ni sehemu ya sikio. Labda ndio maana kuna shaka juu ya uwepo wake.