iddi_chazua
New Member
- Aug 30, 2011
- 1
- 0
Khabar wadau, naombeni msaada, sikio langu limeziba sio maji nadhani ni wax. Nimejaribu kuperuzi sijapata way out sana sana wanasema nisitumie cotton wool na nilichowaza kutumia kwanza..
Mwenye njia yeyote mbadala?
Mwenye njia yeyote mbadala?