Sikiliza hapa Dj mixing /non stop

Anatumia muda, energy na bundle. Sio mbaya akiitisha hela now, so far tumeenda free for a long time.
Kuhusu mix Mbona sijatoza pesa mkuu...ila nimesema folder(file) la nyimbo za hip hop ndio naliuza...hazijafanyiwa mix...naomba nieleweke hapo wakuu..hahahahha
 
mkuu fanya uweke mixing ya zile gospel za mbele, za akina don moen,jim reeves, don williams,women of faith na wengine wengi
 
Mkuu watu wa zile country za enzi hizo umetusahau
 
Mkuu nilikuomba sana unifanyie mpango wa zilipendwa,,,kina marijan rajab, juwata jazz,kama hutojali
 
Daah kama uchawi Leo nimekuona online na hapa nasikiliza mixtape yako ya bongohiphop. Ngumu kumeza he akuna nyingine kama hii au kama ile ya superwomen pia kama kunauwezekana wakunipatia ya DJ mosimo bongo bounce naomba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…