SIKIKA: Taarifa kwa vyombo vya habari

n00b

Platinum Member
Joined
Apr 10, 2008
Posts
1,031
Reaction score
2,742
[h=2]Taarifa hii ni muhimu sana Tujiulize kuhusu utekelezaji wake. Pia kuna lile suala la taarifa za vifungu vya kasma kutofautiana linapokuja suala la implementation.

Download documents kamili hapa

[/h][h=2][/h]
 

Attachments

thanks.

but kuna ishu mbili: kuweka vitabu au kuweka vitabu vyenye taarifa genuine.
 
kwa budget zinavyobadilishwa na makatibu wakuu na wakuu wa idara............budget ya Tz haina maana kabisa. haionyeshi ukweli wa yatakayotokea.

Inaweza kutumika ufanya tracking....lakini kiuhalisia zoezi zima ni utapeli mtupu.

Bunge limepata wapi hela ya kupandisha posho kiasi hicho??? ina maana wamechukua hela kwenye budget line gani??

Kama mkurugenzi anaweza kuandikiwa barua na mkuu wa wilaya achangie gharama za mbio za mwenge, na mkurugenzi huyo akatoa hela kwenye budget line ya capitation grants to secondary schools, na kutoa magari mawili, kuyajaza mafuta na kutoa posho za wafanyakazi 10 ili washiriki kwenye mbio za mwenge.............budget ina maana gani???
 
Labda hapa tuseme moja kwa moja kuwa wananchi wa mijini!....huh!
 
Bajeti ya Tanzania inapitishwa bungeni kutimiza wajibu tu. Lakini expenditure ni unrealistic, na kibaya zaidi ni kwamba kasma zinazowekwa kwa shughuli za maendeleo zinapotea hewani, hakuna mrejesho zaidi ya kutolewa hati chafu chini ya angalizo la wahusika kujitahidi kupata hati safi next ktk next count.

Seems hata wabunge wenyewe wana kifua cha kufuatilia kama taarifa na usahihi wa taarifa za bajeti zinawafikia wahusika (wananchi).. Ukifanikiwa kupata hilo lijikabrasha la taarifa za bajeti limejaa terminologies ambazo kama hujapitia madarasa ya uchumi unatoka kapa.
 

Tukubaliane kwamba kwa hatua ambayo wizara imeichukua ni nzuri japo bado kuna mapungufu mengi sana. lazima tuanzie mahali fulani kuelekea tunakokutaka. Ni kweli kwamba mara nyingi bajeti iliyoko kwenye vitabu ni tofauti kabisa na ile iliyopo kwenye taasisi husika. Pia kwa kuangalia taarifa zilizopo kwenye hivi vitabu ni vigumu kujua kuhalisia kwamba fedha zilizotengwa zinaenda kufanya shughuli gani. Kuna kitu kinachoitwa Medium Term Expenditure Framework (MTEF), humu ndimo kunakuwa na breakdown ya kila fedha iliyopangwa kwa maana ya shughuli gani zimetengewa kiasi gani haswa. Na hapa ndipo tunapoweza kuona kwa undani jinsi serikali inavyoelekeza rasilimali zake.

Hata hivyo, katika hivi vitabu viliyowekwa bado wananchi wanaweza kuona kwa ujumla wake utengaji wa fedha za bajeti haswa lile fungu la posho ukilinganisha na fedha za maendeleo.

Binaafsi ninaipongeza wizara ila bado safari ni ndefu maana hata lugha iliyotumika kwenye hivi vitabu ni ngeni kwetu wengi.
 
We bibi na babu kule kijijini kwetu mmesikia? mtembelee hiyo tovuti piga *148*01# mchague kifurushi
 
bajeti zitakuja kuleta maana pale ambapo mawaziri watakuwa sio wabunge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…