Sikia hii

Sikia hii

DCLXVI

Member
Joined
Jun 14, 2014
Posts
10
Reaction score
1
Kuna kaka mmoja alimchukua dada mmoja na kwenda nae katika kioksi kwa ajili ya mazungumzo. Walipofika na kukaa tu katika vitu yule kaka akamuuliza yule dada, “unatumia whatsapp”, yule dada akajibu majestikale kabisa , “ndio natumia sasa sana za baridi, nimeachana na bavaria siku hizi..”
 
Back
Top Bottom