MTOTO WA KIKE NA MAMA YAKE. MTOTO: mama wahuni wa pale mwembeni wamekataa kuniangulia embe, et wamesema nipande mwenyewe. MAMA: hawana lolote nia yao walitaka kukuchungulia chupi!!. MTOTO: nilijua tu mama walidhani mimi mjinga, nimevua kwanza chupi ndo nikapanda kuangua embe!!!.