sikia hii......!

Mkazuzu

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2008
Posts
449
Reaction score
559
Bibi kizee kaenda kwa daktari wa moyo,mazungumzo yalikuwa kama ifuatavyo.
Daktari:bibi vipimo vinaonesha moyo wako ni mkubwa kweli halafu una tundu katikati
Bibi:we mtoto we usije ukawa umenipiga picha ya ******!
 
wameminya hiyo,picha ya mnyeo!
 
Mambo mengine mnayoweka humu jamvini ntakuwa nasita kuita hapa jamvini home of great thinker
 
Bibi kizee kaenda kwa daktari wa moyo,mazungumzo yalikuwa kama ifuatavyo.
Daktari:bibi vipimo vinaonesha moyo wako ni mkubwa kweli halafu una tundu katikati
Bibi:we mtoto we usije ukawa umenipiga picha ya ******!

hiyo red ndo nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…