Denton_GrootBoom
JF-Expert Member
- Feb 25, 2020
- 550
- 929
You are kind.Upo mkoa gani, mimi niko Tanga huku tunaanza kupanda miche ya limao halafu tunafanya badding na kuwa michungwa ila kama unahitaji michungwa ya nyumbani panda Early valencia huku wanaita msasa kwa sababu inawahi kuwa tamu, inawahi kukomaa, kama ukihitaji miche ya limao hiyo michache nitakupa bure ukapande halafu nitakuelekeza kufanya badding kwani hata hiyo miche ni Miongoni mwa miradi yangu niliyoianzisha
Kikazi npo Dar ila compound location ni kule kanda ya ziwa mkuu