Sijui watoto wetu kama wapo salama

Sijui watoto wetu kama wapo salama

Una picha yake? Ni bora kumuweka wazi ili tahadhali ichukuliwe mkuu
 
Huyo ni pedophile hana tofauti na jamaa alianzisha uzi humu akisifia watoto wa shule na wakatokea wadau wa kumsapoti.

Hao wote hawana tofauti na Nguza Viking na Papii Kocha.

Hao nchi za wenzetu husajiliwa katika kitabu kama sexual predator na kila atakapoenda hutakiwa kwenda kutoa ripoti kua "Ebwana nimehamia mtaa wako huu lakini mimi ni pedophile"

Bongo hatuna hizi, hua tunamalizana nyumbani.
 
Bongo inakuwa ni aibu kujitangaza
 
Back
Top Bottom