Sijui viongozi wa yanga wametumia vigezo vipi kumchukuwa huyu kocha

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,365
Sijajua viongozi wa yanga wametumia vigezo gani kumchukuwa huyu kocha kiukweli
Ila any way acha tuone kwanza kwa watu ambao wanafatilia mpira Watakubaliana na mimi kwa jinsi yanga inavyo cheza kwa sasa wanahitaji kocha Mwenye nguvu ya kushambulia mda wote si ugenini wala nyumbani wangu mimi yule kocha wa asec mimosa angefaa zaidi kuchukuwa mikoba ya namba kuliko huyu kwa aina yake ya kuchezesha haina tofauti na ya nabi

Ila huyu Kama alishindwa kuchukuwa bingwa na wydad ambao walikuwa na timu nzuri mwaka wa nyuma hapo akashindwa kuchukuwa ubingwa na mamelodi ambao Wana timu nzuri
Akashindwa kuchukuwa ubingwa akiwa na espérance de Tunis
Amechukuwa ubingwa na mamelodi tena ameanza katikati ya Msimu

Sijui wametumia vigezo vipi kumchukuwa huyu
 
Nabi alikua wa kawqida sana wakat anakuja alikua amepigwa sana na Makolo na huko alikotoka hakua lolote.
So usitegemee daily kuchukua kocha mzur but wakat mwingine chukua kocha unaejua ataenda na falsafa zako na atajikuza kama ilivyokua kwa Nabi.
Angalia Ulaya
PSG daily inachukua makocha wakubwa waliofanya vizur ila inaishia kuwafukuza tu.
 
Nani alikudanganya Ivo nabi ni katika makoccha wenye CV kubwa Africa
Hujui Kama nabi wamewahi kuchukuwa ubingwa akiwa na timu ya Congo Brazzaville
 
Umetumia vigezo gani kujuwa kwamba Asec Mimosa hawamuhitaji kocha wao?
 
Nani alikudanganya Ivo nabi ni katika makoccha wenye CV kubwa Africa
Hujui Kama nabi wamewahi kuchukuwa ubingwa akiwa na timu ya Congo Brazzaville
Kama ana CV kubwa ni kwa nini alifukuzwa na El Merreck ya Sudan?
 
Nabi alikua wa kawqida sana wakat anakuja alikua amepigwa sana na Makolo na huko alikotoka hakua lolote.
So usitegemee daily kuchukua kocha mzur but wakat mwingine chukua kocha unaejua ataenda na falsafa zako na atajikuza kama ilivyokua kwa Nabi.
Angalia Ulaya
PSG daily inachukua makocha wakubwa waliofanya vizur ila inaishia kuwafukuza tu.
Ibenge na Nabi ni makocha wakubwa Africa ila makolo wajinga huwa wanajipigia tu mbele na nyuma
 
Ukitumia mfano huu huu tujiulize pochetino ameshindwa kuchukua ubingwa na Totenham na akashindwa kuchukua na PSG ikiwa Ina kila kitu kwanini kapewa Chelsea?
 
Mimi nadhani mwalimu apewe muda, ndipo tuwe na ujasiri wa kukosoa. Kinyume na hapo, tujitahidi tu kuwa wavumilivu.

Kwanza hata ligi yenuewe haijaanza! Bado kuna wachezaji wa kusajili. Sasa hofu inatoka wapi? Kufundisha tu hivyo vilabu vikubwa Barani Afrika, tayari ni CV tosha kwa huyo kocha.

Kwanza CV yake tu huwezi hata kuilinganisha na ile ya kocha wa Taifa Stars.
 
Nani alikudanganya Ivo nabi ni katika makoccha wenye CV kubwa Africa
Hujui Kama nabi wamewahi kuchukuwa ubingwa akiwa na timu ya Congo Brazzaville
Hakua kocha bali alikua mkurugenzi wa michezo. Wabongo wengi wanadanganywa sana
 
Sijajua viongozi wa yanga wametumia vigezo gani kumchukuwa huyu kocha kiukweli
Ila any way acha tuone kwanza kwa watu ambao wanafatilia mpira Watakubaliana na mimi kwa jinsi yanga inavyo cheza kwa sasa wanahitaji kocha Mwenye nguvu ya kushambulia mda wote si ugenini wala nyumbani wangu mimi yule kocha wa asec mimosa angefaa zaidi kuchukuwa mikoba ya namba kuliko huyu kwa aina yake ya kuchezesha haina tofauti na ya nabi

Ila huyu Kama alishindwa kuchukuwa bingwa na wydad ambao walikuwa na timu nzuri mwaka wa nyuma hapo akashindwa kuchukuwa ubingwa na mamelodi ambao Wana timu nzuri
Akashindwa kuchukuwa ubingwa akiwa na espérance de Tunis
Amechukuwa ubingwa na mamelodi tena ameanza katikati ya Msimu

Sijui wametumia vigezo vipi kumchukuwa huyu
Anayeshambulia ni wachezaji na sii kocha. Kocha kazi yake ni kuunganisha falsafa za mafunzo yote wanayopewa wachezaji na technical bench ili kuwa na muunganuko mzuri wa kucheza mpira wa ushindani na unaoeleweka. Kwa hiyo mwache huyo kocha aje afanye kazi yake.
 
Ukiwauliza mafanikio yake wanakwambia kufika robo fainali Klabu Bingwa Afrika mara moja, si wangemchukua tu Matola? Kwanza tulikubaliana kufika robo fainali siyo mafanikio.
 
Back
Top Bottom