Kuna jambo lisilo haki unalifanya? Acha mara moja.
Ulidhulumu? Rudisha kwa mwenye nacho
Ulimkosea mtu? Muombe radhi
Unatarajia kufanya jambo fulani hivi karibuni? Sitisha
Omba kwa imani yako, amani kuu inatoka kwa Muumba wetu. Na zaidi jitakase uombe msamaha wa dhambi.