Lakuchumpa
Member
- Mar 28, 2012
- 73
- 13
Niko na bishost mmoja kwataklibani miezi sit ILA kunatabia moja nimeisoma kwake ni mbinafsi chake ni chake ILA chang chake. Then ukiwa nae kila anachoona anataka anunuliwe usiponunua ananuna au uwanunulie wadogo zak. Nanshamvalisha Pete y uchumba. Sijui nisepe.

Mwanamalundi njoo unaitwa
miezi sita tu mkuu ushamvalisha mtu pete? mbona km ulikuwa na haraka sana? inahitaji muda zaidi ya huo kumsoma mtu kabla ya kufikia hatua ya kumvisha pete ya uchumba na kumtambulisha kwenu otherwise mambo ya kuja kufahamiana zaidi ndani ya ndoa yamesababisha kuvunjika kwa ndoa nyingi sana za kileo mkuu..........ushauri wangu tuliza boli mkuu mbele kuna mabamzi, permanent relationship needs no harryNiko na bishost mmoja kwataklibani miezi sit ILA kunatabia moja nimeisoma kwake ni mbinafsi chake ni chake ILA chang chake. Then ukiwa nae kila anachoona anataka anunuliwe usiponunua ananuna au uwanunulie wadogo zak. Nanshamvalisha Pete y uchumba. Sijui nisepe.
Mods like kwa Dr. Mo bill on me ha ha ha.nimeupenda ushauri wake.
Kuongezea kama alivyosema Kibol miezi sita ni michache sana.
Mie nilipata Girlfriend nikawa nae Mwaka mzima nikijifanya nina hali ngumu nn lakini alionyesha kunipenda, nikajua nimefika nikaanza waambia marafiki wa karibu kwamba huyu ndiye. Do sijui na yy alikuwa kajiwekea Mwaka wa kuficha makucha!!!, ikawa kila leo nagundua Jipya, mara hajui kupika hata Ugali hilo sio neno nika mfundisha, mara mizinga mikubwa mikubwa nilipo shindwa kabisa ni pale nilipogundua ni Mwongo haija wahi Tokea. Yote niliyo kuwa nayajua kwake ilikuwa ni uwongo! Hata juu ya wazazi wake alinidanganya, nikabwaga manyanga, nikamshukuru Mungu Kwa kunufunulia mapema kabla sijaanza harakati zozote.
So through my experience miezisita ni michache sana.