Sijui Nimtafune?

Sasa kisa cha kuweka avatar ya kike unataka utongozwe ama?
 
Wanaume nyinyi bhanaa, tena utakuwa wa dar
 
Hahaha kama ulimsaidia ela. Jiandae kutatua shida za familia yake
 
Kwanini UsiMblock namba yake hili asiweze kukuPIGIA SIMU au kukutumia SMS maana hama la muhimu tena baina yenu?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…