Lwamadovela
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 324
- 235
Ni miezi minne sasa wife kitandani tunapishana sana. Yaani hataki tulale kwa kutazamana. Ukimwomba mtazamane mkali Kama mbogo! Najaribu kumuliza Kama nimemkosea, hajibu. Hii hali mpaka inapelekea niwaze kuchepuka! Sijui nimekosea wapi!au ameanza kuchepuka ko hana hisia na mimi!?!?