Sijui niko sehemu sahihi?

kuna vitu na vitu lakini sio hii issue kwa kweli. i guess tuko tofauti . Lakini anyway mwambie aongee na mumewe tuu , ikishindikana hapo sasa ndio afikirie kingine . asante.
 
Ha ha ha ha ha! Safi nimeipenda iyo.
 
Mpe pole, huyo keshazoea kujitibu mwenyewe kwa vidole, na tayari ameathirika kisaikolojia, anatakiwa afanyiwe conceling au ani pm nimwelekeze.

Ntampa my dear.atupo umu angekuemo angenichukia kwa kutoa siri
 
Anakudanganya huyo. Ninachokushauri ebu nenda kamjaribu mume wake uhakikishe kama kweli hana uwezo wa kumfikisha mwanamke hapo ndipo utapata cha kumshauri rafiki yako.
 
Muulize kama alikuwa anajichua kabla au alikuwa anashiriki mapenzi na msichana mwenzake...if not basi jamaa atakuwa hajui pa kupita.

NB: Kama jamaa hajui pa kupita..dawa si kuja kujitia aibu yeye na mumewe kwa kumtangaza mumewe hivyo bali ni yeye na mumewe kukaa chini waliongelee na yeye kumuelekeza mumewe pa kumshika na vya kumfanya wakati wa tendo.
 
mwambie aache nyeto na kipindi cha kugegedana amwambie mumewe wapi kunamwasha akunwe.. asikae kimya mapenzi yanahitaji kuongea kuwekana sawa.
 
Jaman obe anavutiwa na mimi tena akati mie mwanamke mwenzie..
Kaitaj msaada kwan anaogopa mwambia mumewe
unasemaje wewe? kwani anavyojichezea hadi anaridhika anatumia mkono wa mwanaume? ila pole kwa tatizo linalokusibu naamini ukiongea na mwenza wako utapata suluhu,
 
Mii bado namuwaza SITTI A. MTEMVU
 
ae na mumewe wazungumze au kama vipi anaona aibu kuzungumza nae basi angojee wakati wa mavituz amuelekeze kwa vitendo nini anataka... mbona simple sana..... ikishindikana anitafute huyo dada nitamuelekeza nn cha kufanya
 
Huyo kashaathirika na hilo tendo na pia anamuonea aibu mume awe hur afurah anapitwa na raha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…