Sijui nikatawanye???!

Sijui nikatawanye???!

Angekua dadako wa ukweli ungefanyaje. Sasa hicho ambacho ungemfanyia dadako ndio ufanye
 
Sidhani kama mtoto anaweza kuja hivi hivi na kukuambia maneno kama hayo Kijana kama wewe na nahisi na kuamini kua kuna kitu umekifanya ambacho huyo mtoto kakiona kwako na ndo mana kaamua kukufata wewe,kwa nn asifate watu wengine?
Tafakari na chukua hatua ila cha maana kaa nae na muambie ukweli kua u cnt date with her na aache hiyo tabia na ukiwa unaongea nae plzzzz onyesha dat sura ya kua hautaki akufanyie hivo mana usije ukawa unamuambia hayo maneno na sura ya tabasamu.
 
Usituulize ujinga hapa. Unamshawishi ama unamkemea kama kakake? Aibu zako!
 
Miaka 30 inakunyemelea ivi ivi!

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Mpe makavu tuu ucje kuharibu historia yako
 
Mijitu mingine bwana! Ushahidi wa kimazingira unaonesha umeshakatia wazimu kabinti ka watu halafu unapretend hapa! Kaombe ushauri kwa kaka yake na wazazi ikibidi!
 
Sasa kama unachukua kama nduguyo kwanini usimkemee na epuka mambo ya kuwa nae faragha hata simu zake usipokee.
 
We mara ya mwisho umesikia mtu kafungwa kwa ajil ya kutembea na mwanafunzi lin? Mpe anachotaka kama inapita kama haipiti subil muda ufike..Hili suala la kuuliza kweli si lakujimalizia tu wenzako wanavitafuta hivyo vitoto wewe unachezea bahati
NB:Huo ni ushauli wa nguvu za giza maana we mwenyewe ubongo wako umejaa giza.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Mpe anachokitaka. By the way form 3 sio mtoto tena huyo. Ni mkubwa mwenzio.
 
Ana mimba anataka akusakizie.......
Kituo cha afya na kwa shughul za utoaji wa mimba mikocheni kwa Dr Daffa kimefungwa-source ITV
 
... Tena kunakipindi nimeishi kwao kwa muda wa miaka miwili na wazazi wao wananichukulia kama mwanao na mimi nawaeshimu kama wazazi wangu....

Hiyo sentensi moja tu uliyoiandika hapo kama kweli ni mtu unayewaza sawasawa ilikuwa inatosha kujua nini cha kufanya kwa binti huyo wa kidato cha 3, sidhani kama wewe ni mtoto sana kwa kiwango cha kushindwa kujua nini unapaswa kufanya!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom