Endelea kuwa na moyo wa huruma.
Anampa kidogo tu.
Mkuu unatania au upo serious?Wewe na mke wako mna roho nzuri sana... Mshauri amkubalie tu mtapata baraka kutoka kwa Mungu.
View attachment 1691718
View attachment 1691718
Natania nini sasa! Kwani hujui kutoa ni moyo wala sio utajiri?Mkuu unatania au upo serious?
Hicho kicheko nimefurahi sababu mimi ndio huyo kilema...Mbona umeambatanisha na kichekesho sasa?
Acha roho mbaya Mkuu, kama Mungu alimpa bure nini kinakuuma yeye akinipa mimi?Haiwezekani bora nionekane Sina ubinadamu tu!