Sijui nichague wapi

Sijui nichague wapi

CORNATH

Senior Member
Joined
Nov 18, 2014
Posts
131
Reaction score
31
HODII,mimi ni msichana mwenye umri wa miaka kadhaa,yaani umri wangu unaruhusu kuolewa, niliwahi kuumizwa na mapenzi kiasi kwamba sikuwaza kama nitakuja kutamani kuolewa.

Miaka kadhaa imepita karibu minne sijafanya ngono, sasa nimechoka, natamani mwenza angalau na mimi nipate mfariji, sasa nimepata boyfriend hajajitambulisha home siwezi kumuita mchumba.

Tatizo huyu kaka hanijali hata kidogo niliwahi kupata tatizo nikamuomba elfu 5 tu ya kitanzania yaani alinifokea kama mtoto mdogo eti mimi napenda pesa, sasa nikamchoka.

Nimepata mwingine bado hatujazoeana, sielewi kama na yeye mbahili au vp, je ni sahihi kumuacha yule wa kwanza na kuwa na huyu mpya au nimefuata matatizo zaidi?

Naombeni ushauri
 
Elfu 5 tu kakusimanga

Mmwage



Ila kama hii chai nilishawahi kuinywa hapa jf?????
 
Usipoteze wakati wako, Vijana wa mtaani hawana mapenzi ni kukuharibia lifu yako !!
Jitahidi kwa masomo yako au kazi zako!! Mume mwema atakuja tu, Hiyo sii kazi yako kutafuta, Mungu atakujaali soon. CORNATH
 
Last edited by a moderator:
pole mpenzi,i wish niwe wa kwanza kuonja hiyo bikra,much love
 
Mkuu tulia wakati wako bado,kisha mpende mtu kama alivyo sio pesa zake,kuna watu walikuwa na mahela,yakapotea,maisha hayatabiriki
 
mwanaume wako WA 5000 sio mwelewa au la co situational!!!
Hata asingekua na hyo ela c angetumia upole tuu kukueleza!!!
Misitu mingi inateketea kwa moto kwa sababu ya kudharau kanjiti kadogo ka kiberiti!!!
Nakusihi jiridhishe kwanza, pay time then you will have to conclud at last!!!
 
Mkuu tulia wakati wako bado,kisha mpende mtu kama alivyo sio pesa zake,kuna watu walikuwa na mahela,yakapotea,maisha hayatabiriki

Hata km mapnz sio pesa ila huyu kazid,mm sio mtu wa kuomba pesa ila cku hiyo nlikua nna shida sana ndo nkamuomba ila mmh nlijuta kuomba
 
Back
Top Bottom