mweeeee.....chezeiya wasanii wewe.....anakuja kwa wazazi.......barua analeta.........atakapochomokea sasa.......hata unyayo hutauona.......bora tuendelee kisanii sanii hivi hivi kila mmoja..........
mmmmmmmmh mapenz haya bora niendelee kuitunza bikra yangu milele yote
Loh kweli kabisa! Kama ipo lakini.
mmmmmmmmh mapenz haya bora niendelee kuitunza bikra yangu milele yote
Huwez kuwa na bikra wewe. Niko tiyar kuithibitishia Jf.
Huwez kuwa na bikra wewe. Niko tiyar kuithibitishia Jf.
tushayamaliza anaangalia series huku anakunywa wine na mie nachat huku napata redbull sikilizia mziki wake baadae
Kama huja wekeza, basi lala mbele hakuna mapenzi tena hapo, watoto wengi wa mjini washenzi washenzi
Huwez kuwa na bikra wewe. Niko tiyar kuithibitishia Jf.
Alaaa hivi hata PMs huwa zinatoaga bikra siyo?
Sista sasa akilewa si ataweza tena bwana utaniangusha bwana ... panda kitandani bwana alafua aje....
mmmmmmmmh mapenz haya bora niendelee kuitunza bikra yangu milele yote
ni msichana niliyekuwa naye kwenye uhusiano kwa muda mrefu bila tabu yoyote na yani tulikuwa kwenye furaha jana tu tukala na kucheka pamoja sasa eti leo kaamka tu asubuh anasema anitaki...nikimuuliza sababu ni nini ananiambia kaamua tu jamani kuna nini hapa
Loh! Jamani mchina!!!<br />By hakisoni<br />
Loh kweli kabisa! Kama ipo lakini.
<br />
mchina katuharibia soko bora za Tanga ziko kama orijino
jitunze tu shoger na akijitokeza mchumba aanzie kwa wazazi asije kwako
shosti miss chagga iko tatizo gani? mbona unaniondoa jamvini mapema hivi? huu ubao ndio wenyewe
hujamshauri kama amewekeza afanye nini na bunduki hana