Sijui ni mimi tu au kuna wengine pia?

πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”Ninawaza hapa nikae na nyusi bila kuzichonga.
Mkuu unataka nitembee na kichaka usoni??
 
Watu wanaojichubua sijui nawaonaje aisee dah utakuta mmama kapigwa na jua mashavu yote mekundu usiombe wale mkorogo umedunda wanakua na rangi/ngozi ya ajabu sana weusi si weusi blue si blue wanatia hadi huruma wazazi itabid waelimishe watoto wao to love themselves, siku izi watu wanaanza mikorogo very young vidoleni full sugu hatar sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…