Sijui ni kweli.!!?

kweli kabsa shine
We ZeMangi unafanya nn jukwaa hili saa hizi? Msikilize CelineDion- oh, sorry, Kambani- anatoa uharo wake Huko Bungeni. She bores me stiff! Kama huyo jamaa aliyewatenganisha dogs waliokuwa waki_do kwa rungu! Wivu au nn? Au alikuwa anamtaka huyo she-dog?
 
teh teh teh...kwa kweli hata mm sijui
 

Hapo umekosea, Mbwa alimjibu kwamba,"sisi huwa tunageuka ili kuangalia tahadhali ya pande zote, kama akitokea binadamu kurusha jiwe tumuone kisha tukimbie. Mbwa pia aliongeza " kama hakuna dalili ya hatari kurushiwa jiwe huwa inarahisisha kula denda kuliko nyie paka ambao uwezekano wa kula denda ni mgumu".
 
Hapo umekosea, Mbwa alimjibu kwamba,"sisi huwa tunageuka ili kuangalia tahadhali ya pande zote, kama akitokea binadamu kurusha jiwe tumuone kisha tukimbie. Mbwa pia aliongeza " kama hakuna dalili ya hatari kurushiwa jiwe huwa inarahisisha kula denda kuliko nyie paka ambao uwezekano wa kula denda ni mgumu".[/QUOTE]
thenkiyuu...mista kasava.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…