Hahahaaaaa acha tu mkuu yaani huku kwetu kuna vituko mno. Unakuta mtu eti anafanya kituko makusudi anakuambia umpige picha halafu afurahishe jamii katika mitandao daaaaah ukija huku utachoka

Kabisa madam alimradi uwe mvumilivu maana mara nyingi huwa nasafiri kutafuta kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli. Nyumbani nimekaa sana labda siku nne kwa mwezi mzima