Kwa wanaojua rangi za majoho huwa tofauti kulingana na course husika wadau hapo watasaidia, na pia ukiangalia hiyo Nguo kwa maadili ya msomi sidhani kama ni sahihi.
ndugu pambana na Hali yako kila mmoja anaishi vile utashi wake ulivyo Kama hakufunzwa dunia itamfunza Tena kwa maumivu makali!! Kila unaemuona ana kichwa jua anaakili ya kufanya maamuzi na ni yeye ndie atakae husika na matokeo ya maamuzi hayo.