Sijui ni balaa au mkosi??

Mafweza ze don

Senior Member
Joined
Feb 9, 2013
Posts
148
Reaction score
182
Kila nimpendae kwa vigezo vyangu na cfa anankataaa nfnye nn jmniiiiiiiiiiiii?????
 
Chukua hydrogen peroxide changanya na spirit pamoja na ugoro halafu unywe, watakufuata mpaka uwakatae.... sawa ndugu yangu?
 
Pole sana!
Pengine hufikii vigezo vyao!
Wewe una vigezo na wao wameweka vigezo! Usichoke kutafuta!
 
ina maana wewe hivyo vigezo huna which means mngekuwa mnafanana asingekukataa birds of the same feather
 
Kuwa na subira utapata tu mwenye vigezo unavyotaka.
 
Last edited by a moderator:
kwani wewe una-vigezo gani mpaka uje utuwekee uzi hapa tukujadili.
1- weka vigezo vyako
2- weka picha na wasifu wako

tuachie tukusaidie kupiga tungurri na manyanga ndani ya siku 2 uje uchukuwe majibu na mafusho kama vipi na jiwe la nyota yako.
 
Chukua hydrogen peroxide changanya na spirit pamoja na ugoro halafu unywe, watakufuata mpaka uwakatae.... sawa ndugu yangu?

Hivi mpwa ni kweli kuwa ile kitu ya Peroxide inaleta ngekewa ya kupendwa???
 
Kila nimpendae kwa vigezo vyangu na cfa anankataaa nfnye nn jmniiiiiiiiiiiii?????

Kwanza wewe ni ME au KE? haka kaswali huwa nakapenda maana kananipa nafasi ya kupekua misaafu yangu ya mbinu za kuangusha MIBUYU hata kama imeota juu ya lami...halafu usisahau kunitajia na kaumri kako best...
 
Sasa kila unayemtaka angekubali si ingekuwa balaa.., kuna option mbili:-
Punguza vigezo; kuongeza idadi ya watu, kama vigezo vyako haviwezi pungua..
Keep on looking, one day yes..., na kama huwezi kusubiri settle for the next best thing (na jifunze kumpenda na kuvumilia)
 
Hakuna cha mkosi wala nini tatizo lako wewe bahili kuhonga. maneno yanakuwa mengi mwenzio nilikuwa kama wewe. Hebu jaribu kuhonga uone mabadiliko.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…