Sijui ndo uzee....

Macho yakianza kuwasha huwa haoni rangi yoyote ile πŸ™‚πŸ™‚...Si unajua uzee tena!!! Eti naye kishajiingiza kwenye kundi la Wazee!!!

aahhahahha hakuna rangi ataacha kuona leo!
 
Macho yakianza kuwasha huwa haoni rangi yoyote ile πŸ™‚πŸ™‚...Si unajua uzee tena!!! Eti naye kishajiingiza kwenye kundi la Wazee!!!
ha haa, kwani rafiki wewe unahisi mimi siyo mzee?
 
Macho yakianza kuwasha huwa haoni rangi yoyote ile πŸ™‚πŸ™‚...Si unajua uzee tena!!! Eti naye kishajiingiza kwenye kundi la Wazee!!!

wakati mtoto mbicho kabisa!
mtoto mteke kabisa huyu
mtoto analika hadi mfupa kabisa huyu
anajiweka kwenye kundi la uzee anataka kukunyima nn!
ASIKUTISHE!
 
Got you Snowhite...When it comes to "uchakachuaji" you`re the CHAMP, but watch out for your sister and her beloved twin Ablessed, if you are not careful πŸ™‚πŸ™‚ soon they`ll surpass you.

Na lini sikio limezidi kichwa!
ahahahhahah hawa wapo darasani kwanguuuuU!
WENYEWE HUWA WANAKAA CHINI!
 
Dah!!!! :doh::doh::doh:
UTAJIBEBA!
mi nakuangaliaga tu kila siku unavyocheka na nyani ngoja ukute mabua ndo akili zitakukaa!
kazana kuwekamo madedication wenzio ndo wanayatumia hayo hayo !
we unabaki kuitwa LAIFU SEVA !!tu
SHAURILO!
unaniuziga mimi aaaargh!
 
snowhite umeshamaliza viroba vingapi?
muda wa kulala umefika..... potea
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
wewe ukimsikiliza mdogo wangu snowhite utalala nje.....
anajaribu tu kumpandisha chat dadake ambaye hata hauziki, lol!
weeee hebu wacha kumfanyia hivo mtoto wa mwanamke mwenzio!
ebana enhe BAK mi nna utani na wewe?
nakuuliza nna utani na wewe?
sasa amua wa kumsikiliza!
hata kama mbuzi anauzwa wenye gunia huwezi kuwekea njiwa bana!we vipi!
STUKA!
 
Last edited by a moderator:
Mwambie mdogo wako akalale sasa maana naona kaanza kuropoka sasa lol!!! sijui kishajitwisha viroba vingapi kichwani. Asije akakuliza bure hadharani πŸ™‚πŸ™‚....Kenda kuibua mpaka mambo ya life saver, BAK na life saver wapi na wapi.

snowhite umeshamaliza viroba vingapi?
muda wa kulala umefika..... potea
 
weeee hebu wacha kumfanyia hivo mtoto wa mwanamke mwenzio!
ebana enhe BAK mi nna utani na wewe?
nakuuliza nna utani na wewe?
sasa amua wa kumsikiliza!
hata kama mbuzi anauzwa wenye gunia huwezi kuwekea njiwa bana!we vipi!
STUKA!
ha haaa, unamstua aliyelala, lol!
tena naona kuzimia kabisaaaaaa... BAK wewe endelea kuniporomoshea vibao..... mengine achana nayo
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…