Sijui ndio kuchoka na maisha??

Huu ndio uchizi wa ngozi ya kitimoto mimi hapo hata nigide bapa la konyagi kavu silewi ng'oti
 
Unataka kusema unashindwa kukaa hapo kashesho??

duh siwezi kukaa nikiwa hai labda mfu kwa kweli nikipanda gorofa moja tu sithubutu kuchungulia hata chini nasikia kihindi hindi miguu inakosa ushirikiano sembuse hapo hapana kwa kweli
 
Hiyo inaitwa HAKUNA JIPYA SIJAJARIBU .....kula mchupa,you talk about kesho-unaijua wewe .ahahahah
 
Watu weupe huwa hawaogopi kujaribu jambo, hawa jamaa ni watu wa ajabu sana
 
Hahahaha wazungu bana! Kaaa kuangalia tu kiroba nilcho piga kimekata. Hapo hata wanipe za Escrow sikai. Bata gani za majaribu hizi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…