Sijui nao wamejengewa maabara za rais?

Ngoja niichukue kabisa kama kumbu kumbu kwa wanangu.sijawahi ona chama katili duniani kama ccm. Ni bora anae kuua kuliko anae kutesa
 
Maadui ujinga na umasikini ndiye nguzo kuu zinazoiweka CCM madarakani.
 
Mimi nang'atuka lakini naendelea kuamini kwamba bila ccm madhubuti nchi hii itayumba.
 
Mimi nang'atuka lakini naendelea kuamini kwamba bila ccm madhubuti nchi hii itayumba.
hata tukae mika elfu kumi hatuwezi kupata ccm madhubuti. Ccm ina laana ya maisha.
 
hatuna hela kwa sasa,bajeti imeelekezwa kwenye matibabu ya tezi dume
 
afu unategemea mtu atoke hapo aende kutengeneza nuclear reactor!!! not possible...
 
afu unategemea mtu atoke hapo aende kutengeneza nuclear reactor!!! not possible...

Nuclear reactor mbona mbali sana huko Dreson4! Mwambie atengeneze japo sabuni ya majani ya mpapai uone
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…