sijui nani ni nani hapa

vijana wametulia hawa, embi ziwekwe nyingine nyingi jaman tuweze kuwaona furesh kbs.
 
nyuma ya pascal mayal kuna jamaa kavaa miwani, namfahamu kasoma ardhi university, sijui anatumia id gani hapa.
 
Mwa J saizi ukiniona utanitambue eeh? weka na yako dear...lol

Yaani haina tabu kabisa! Sasa ntakuwa nakutambua bila hata kuvaa miwani! Ntaiweka yangu muda si mrefu tatizo ni haka kasimu ka mchina.
 
Huyo dada namkumbukia IFM.... Mr.Mniwasa times wa international law!!
 
mimi Max linisukumia pembeni naonekana mkono tu
 
Wanaume wa JF wana afya hao....he he he he....kuna haja ya kufahamiana......!!
 
yaani mimi natuma tu pm randomly dah i wish ningewapata ila silali hadi kieleweke wanaume wa ukweeee

Smile wewe m-pinpoint unaetaka, mtangaze, PM itafuata kutoka kwake, usiwe na hofu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…