Sijui mtego huu?

makubwa mume atoe mwili wake kwaniaba yapesa!!! chakufanya mwambie gf wako kuhusu ajali, uskubali kuzini nashemu, ahidi kulipa hiyo pesa pindi upatapo, usiwe zoba kuendeshwa nawanawake malaya

Na kweli makubwa,hapa ndio mmetufikisha wanawake wa siku hizi
 

Kutokana na ushauri wenu sikwenda...ilibidi nizime simu kabsaaa
 
Galadudu Inauma kufanya usaliti maana najifikiria kama ingekuwa mimi nafanyiwa?
 
Last edited by a moderator:
Kwani gari yako haina bima? au hiyo ajali iliripotiwa????? jaza mwenyewe.
Ila inaelekea huyu 'rafiki' wa mchumba wako ni bomba na ibilisi amekutambalia kama ni hivyo uamuzi ni wako
 

Nadhani hakushuka kwa kuwa anaifahamu gari yangu.

Labda ilikuwa zari kukwangua gari la mtu ninaemjua vinginevyo ningekuwa nyuma ya nondo pale centro

Uwezo wenyewe wa kutunga ni mdogo sana

Kama pana fursa ya mshiko acha tukae mezani tuiboreshe maana nyie bongo move mmeshaishiwa story..uzuri wake mtaiandika true story,sina gharama karibu

Eti nikakwangua Mark x, uongo mtupu

Uongo uko wapi mkuu...bahati mbaya sikuweza kuipiga picha kutokana na mazingira yalivyo

Story humu zimekua nyiiingi ila hazina mashiko.
Ngoja yakukute...ndio utajua.


Inaweza ikawa ni njia bora ya kumaliza tatizo au kuongeza tatizo

kopa kwa marafiki zako umpe ukipata unarudisha kama kweli hutak kuwa msaliti

Niko kwenye taratibu hizo...ahsante nawe ukiguswa kama rafiki
 
Yaani mmeshatoka eneo la ajali na trafiki hakupima chochote halafu bado unatishiwa maisha,? vitu vya ajabu sana hivi
 
Kwani gari yako haina bima? au hiyo ajali iliripotiwa????? jaza mwenyewe.
Ila inaelekea huyu 'rafiki' wa mchumba wako ni bomba na ibilisi amekutambalia kama ni hivyo uamuzi ni wako

Gari yangu inabima lakini sio kubwa..trafic alikuwepo lakini akataka tuelewane kwa sababu tulionyesha kujuana.
Mmh hayuko vibaya kaumbika haswaaa..uamuzi siwezi kumsaliti mchumba angu
 
Hahaha...we jamaa na story zako za kutupumzikia....Anyway nakushauri uongee na mpenzi wako mwambie umegonga Gari ya rafikiye so akaongee nae mlipe baadae mambo yenu ya pesa yaki kaa vizuri but usimwambie alicho demand rafiki yake.

Utakuwa umemjua rafiki wa mpenzi wako ni mtu wa aina gani so utakuwa una mkwepa...life is short usije wagombanisha hao mashost na kuongeza idadi ya haters...We mpotezee kimyakimya.

Akimkazia rafikiye baada ya kumwambia mtamlipa baadae mambo yenu ya kikaa sawa then mwambie mwende mkapime ajali maana atakuwa hana strategy huyo.
 
Labda hiyo mark x hai-exist....
Nadhani hakushuka kwa kuwa anaifahamu gari yangu.

Labda ilikuwa zari kukwangua gari la mtu ninaemjua vinginevyo ningekuwa nyuma ya nondo pale centro
 
Yaani mmeshatoka eneo la ajali na trafiki hakupima chochote halafu bado unatishiwa maisha,? vitu vya ajabu sana hivi

hahahaaa huwezi jua jeuri anatoa wapi mkuu si unajua hawa watoto wazuri mara nyingi vigogo ndio huwa wawekezaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…