Tatizo mmeumbiwa vishawishi na vitamanishi sana vya mapenzi jamani.Guys (in.......'s Accent) natumaini harakati za utafutaji zinaendelea.
Sasa Mimi Leo sina mengi ila huwa najiuliza na bado nawauliza enyi wenye jinsia ya kiume kwamba Kwani mnaponunua bidhaa wanazouza wanawake wanaofanyia biashara kwenye mikusanyiko ya watu mfano nguo, chakula n.k ni huruma? Au huwa mnawaza nini? Unakuta mtu ni mteja wako mzuri tu daily anakuungisha kwenye biashara yako (namaanisha biashara halali maana hamshindwi kuwaza mengine) sasa kosa akuone unamzoea mwanaume mwingine ambaye nae ni mteja wako tayari anakuhama. Au mwisho akutongoze umkatalie tayari anakuhama kama hakuwahi kuwa mteja wako vile.
Mbona Sisi wanawake hatuko hivyo? Kama namuungisha mtu nakuwa mteja tu Hadi pale nitakapoona sihitaji tena au nimepata mbadala.
Wanaume mnakwama sana nyie mtuungishe tu ila Mambo mengine myaweke pembeni.
#badonahitajifreezermsijikaushe
Mimi ndiomaana sitakagi mazoea kabisa, tutaongea kibiashara tu maana mwanzo nilijifanya kuwa nawatreat mpaka mafundi kwa upendo tu sasa ikaanza kuleta mazoea mpaka bodaboda anakuja kukueleza jambo lake la kipumbavu tu! Nikaona isiwe tabu sikuhizi wana mipaka atakayekuja aje ambaye hawezi apite kushoto!Watu wengi wamesha zowea ile customer care ya maugomvi,
Mfanya biashara wa kike akionyesha customer care kwa kujali na kumchangamkia mteja,basi mteja ataona kama vile unamtaka ndio anarusha ndoano,akikataliwa inakua uadui,
Nimeielewa vizuri sana mada yako.
Tuheshimu basi bibie tukuambie kwanini! Sisi ni Wanaume sio “wenye jinsia ya kiume”😡enyi wenye jinsia ya kiume
Mh! Hii tabia sidhani kama tunayo wote!, binafsi we aje mgeni we mkenulie mpaka aone kidaka tonge hiyo ni juu yenu!..Kiasili hua tuna poa ama tuna pona ama tunafarijika kwa kujali kwenu hata kama hatuna nia ya kukulana.
Dunia ya wasasa wanaume wengi wanatembea road lakini wanapitia misongo mingi kwenye mahusiano, kazini, kwenye ndoa, kwa ndugu nk......
Sasa tunapo wazowea kwa namna moja ama nyingine tunajiona tunapata ile fully care na kupata faraja... then inapo tokea tumemuona mwanaume mwingine anapata fully tabasam na care inayo fanana na ile uliokua unanipatia basi automatically naingiwa na wivu ambao kimsingi ni wakiasili.
Baada ya hapo mwanaume atakuhama tu ama ataanza kukukaushia kana kwamba hakuwahi kukufahamu.
😂😂kumbe huwa mnawaza mengineWatu wengi wamesha zowea ile customer care ya maugomvi,
Mfanya biashara wa kike akionyesha customer care kwa kujali na kumchangamkia mteja,basi mteja ataona kama vile unamtaka ndio anarusha ndoano,akikataliwa inakua uadui,
Nimeielewa vizuri sana mada yako.
Kwanini umeniunganisha kwa hao wanao waza hivyo?😂😂kumbe huwa mnawaza mengine
Hapa nimeelewa sasaKiasili hua tuna poa ama tuna pona ama tunafarijika kwa kujali kwenu hata kama hatuna nia ya kukulana.
Dunia ya wasasa wanaume wengi wanatembea road lakini wanapitia misongo mingi kwenye mahusiano, kazini, kwenye ndoa, kwa ndugu nk......
Sasa tunapo wazowea kwa namna moja ama nyingine tunajiona tunapata ile fully care na kupata faraja... then inapo tokea tumemuona mwanaume mwingine anapata fully tabasam na care inayo fanana na ile uliokua unanipatia basi automatically naingiwa na wivu ambao kimsingi ni wakiasili.
Baada ya hapo mwanaume atakuhama tu ama ataanza kukukaushia kana kwamba hakuwahi kukufahamu.
HapohapoWapi boss
NJE YA MADA.Watu wengi wamesha zowea ile customer care ya maugomvi,
Mfanya biashara wa kike akionyesha customer care kwa kujali na kumchangamkia mteja,basi mteja ataona kama vile unamtaka ndio anarusha ndoano,akikataliwa inakua uadui,
Nimeielewa vizuri sana mada yako.